Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
Hahahaaa mapambano ya huko kunakoitwa PM.. JF is never boring....!!!!Miss chagga,Evelyn salt,heaven sent na madame b..hawa wadada walinifanya nicreate accnt jf ili nije kupambana nao huko mnakukokuita pm ila nilivyojiunga tu nao wakapotea humu
Nanii alikufanya wewe ukajiunga humu jf?
Vipi mkuu nini kilikufanys ukajiunga humu?Mngh!
Nilijiunga mwenyewe baada ya kufuatilia page ya JF ya FB na kuona watu wanajadili mada kwa uwazi bila woga huku wakitumia majina fake.Miss chagga,Evelyn salt,heaven sent na madame b..hawa wadada walinifanya nicreate accnt jf ili nije kupambana nao huko mnakukokuita pm ila nilivyojiunga tu nao wakapotea humu
Nanii alikufanya wewe ukajiunga humu jf?
Mkuu alijiunga jf ili apambane na kina dadaMngh!
Kabisa. Kila kitu kinapatikana hapa ni swala la kuchagua tu [emoji23][emoji23]Hahahaaa mapambano ya huko kunakoitwa PM.. JF is never boring....!!!!
Hahahahaaaaaa, sijui atawaweza?Mkuu alijiunga jf ili apambane na kina dada
Dah una bahati kubwaMimi Max aliniomba nijiunge.
Hapana amesema mapambano ya PM. Hebu tumtendee haki we are all great thinkersKumbe ulifata mbunye? Mfyenke you!
Kasema wadada hawa!hawa! Maana yake wanaume wenye point humu hawapo? Kawaona mademu2,wewe ndio hujamuelewa huyoHapana amesema mapambano ya PM. Hebu tumtendee haki we are all great thinkers
Sijui ni wapi umekosea au pengine umeamua kuwa muongo bila sababu.. Hao member kwakweli wengi wao kwa sasa hawaonekani sana ila kipindi ulichojiunga walikuwa wanatrend sana.. [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]Miss chagga,Evelyn salt,heaven sent na madame b..hawa wadada walinifanya nicreate accnt jf ili nije kupambana nao huko mnakukokuita pm ila nilivyojiunga tu nao wakapotea humu
Nanii alikufanya wewe ukajiunga humu jf?
Mda umepita mkuu...sasa hivi kuna version nyingine kabisa humuHahahahaaaaaa, sijui atawaweza?
Mmmh ok tunatofautiana tafsiri na mitazamoKasema wadada hawa!hawa! Maana yake wanaume wenye point humu hawapo? Kawaona mademu2,wewe ndio hujamuelewa huyo
He he he heMimi Max aliniomba nijiunge.
Ndio mkuu...yani ilikua kila ukigusa siledi lazima ukutane nao,ila walipotea tu sijui ndio kuolewaSijui ni wapi umekosea au pengine umeamua kuwa muongo bila sababu.. Hao member kwakweli wengi wao kwa sasa hawaonekani sana ila kipindi ulichojiunga walikuwa wanatrend sana.. [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] View attachment 723803
Wapo ukiwahitaji nijulishe na sio uchawi wala ndumba search kwenye LAST SEEN ya kila mmoja utajua tu... Ila kuhusu location siwezi kukuambiaNdio mkuu...yani ilikua kila ukigusa siledi lazima ukutane nao,ila walipotea tu sijui ndio kuolewa