Think2
JF-Expert Member
- Jan 3, 2025
- 3,087
- 6,024
Mdada umeanzisha mahusiano huenda hata mzazi hakujui mwisho wa siku mkapigana mimba na mtu wako, iweje muanze kusumbua wazazi kuleta watoto wenu kijijini mkizaa huko bakini nae hukuhuku.
Mtoto mdogo unaenda kulelewa na bibi na babu ambao tayari ni wazee sana unategemea malezi ya mwanao yatakuwa vizuri huku kijijini
Hii tabia haifai hata kidogo unafanya mambo yako huko mjini ukipata mtoto kwa bibi hii kitu inasababisha watoto wengi kukosa malezi sitahiki ya mtoto
Mwisho kauli ni hii MTOTO WAKO MLEE MWENYEWE.