Wadada hii tabia za kuzalishwa huko mijini(jiji) kisha watoto kuwapeleka kwa bibi zao zikome

Next 20 yrs,70 ya watoto wote watakuwa watoto waliolewa na single mothers pekee.
Huu umagharibi unaharibu sana akili za wadada na Serikali inaangalia tu,sijuinWizara ya utamaduni inafanya kazi gani.
Mheshimiwa ataisoma hii
 
Kuna tofauti kati ya mzazi na mlezi
 
Wanapelekwa kwa babu na bibi yao ili mzazi hususanani mama aendelee kufanya um@laya (kudanga). Mtoto ukimzaa ni wako kaa nae umlee sio unakuwa kama incubator mayai yakishatotoleshwa vifaranga vinachukuliwa.

dishwa vijijini
 
Koo zenu hazijui upendo ovaa na NI maskini poleni Sana..Sisi wazazi wetu Wana uwezo kuliko Sisi Kiasi cha kwamba ndugu Baki wanakula kupitia kwao nyumbani sembuse kajukuu...poleni tena kwa kutobarikiwa
 
Koo zenu hazijui upendo ovaa na NI maskini poleni Sana..Sisi wazazi wetu Wana uwezo kuliko Sisi Kiasi cha kwamba ndugu Baki wanakula kupitia kwao nyumbani sembuse kajukuu...poleni tena kwa kutobarikiwa
Fata mtoto wako, uwexo tafuta wako
 
Wanaume wanaowazalisha hawataki kuwa responsible, unakuta mdada bado anajitafuta hana chumba cha kuishi ni bar maid wanaishi watu 10 kwenye room au mdada ni anafanya kazi za ndani kadanganywa na katelekezwa na mimba yake unafikiri afanye nini Dkt. Gwajima D
 
Unadanganywa vipi kwani wewe mtoto, sema mnapendaga wenyewe bn
 
Hamjui Tu nyie baadhi ya wazazi wamezaa watoto wachache mathalani watatu Tu wengi makazini au mashuleni kumbe hamjui kama wazazi wasio na njaa wanapenda kuishi na vichanga poleni Sana maisha NI watu kutembelea kutembelea vichanga Mimi BINAFSI mama yangu anakapenda Sana katotot changu mpaka naona NI kama nikaachie kawe chake Tu sio kwamba siwezi kukalea ningekalea ila kama nyota ya kupendwa na Bibi yake na yuko vzr kuliko mimi
 
Inasikitisha sana
Inasikitisha noni sasa hahaha. Nacheka kama dharau ila sijui nyie familia zenu zipoje ila kifupi Mimi na mama wote watumish na wote NI below 50..sasa haiwezekan kwamba wote hatuwezi kukalea katoto kamoto ni basi Tu mama ana nyumba kubwa na napenda katoto sasa afanye nini zaidi ya kukataka na analala nacho still kakiwa kachanga what a wonderful love me niipinge
 
jitambue mwanao lea mwenyewe malezi ya bibi na babu sio mchukue mwanao ukamlee
 
Hata sisi wakaka kuna wengine hatujitambui..

We unajua huna maisha mtoto wa nini..
Kuna mafaza wanafika mbali zaidi wanasema kila.mtoto na ridhi yake...

Daaah jamni ebu tusome sana ilmu dunya wakuu
 
Mkuu sijakuquote halafu gazeti lote hili kama umepanic vile. Hujaulizwa kuhusu Mama yako
 
get you are child

Mkuu sijakuquote halafu gazeti lote hili kama umepanic vile. Hujaulizwa kuhusu Mama yako
Ok kwani maada si kuhusu watoto kupelekewa Bibi ambao nibmama zetu..ndo nakupa sasa taarifa kuhusu baadhi ya wamama WAMEZAA Watoto wachache na hawana njaa KABISA wanapenda kulea still so inatokea Tu huwezi kuforce kukaa na mtoto at least alelewe hata Miaka ya kuanza shule ila Wana enjoy Sana vitoto vichanga one day mtakuwa mabibi mtajua nachomaanisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…