Dkt. Gwajima D
Minister
- Nov 28, 2015
- 1,710
- 8,690
Sasa kama kasi ya kudanganywa ama kudanganyana imekuwa kubwa hivi, unaonaje kila mmoja afahamu kuhusu baadhi kasi hii ili, abebe wajibu wa kujihami kwa kujiandaa kimaisha kwanza kabla ya kuingia kwenye mahusiano ili, uongo ukijibainisha basi, kusiwe na heka heka za itakuwaje sasa bali, kila mmoja aendelee na maisha yake kwa amani? Nini maoni yako?Wanaume wanaowazalisha hawataki kuwa responsible, unakuta mdada bado anajitafuta hana chumba cha kuishi ni bar maid wanaishi watu 10 kwenye room au mdada ni anafanya kazi za ndani kadanganywa na katelekezwa na mimba yake unafikiri afanye nini Dkt. Gwajima D
Elimu wezeshi kwenye akili hasa za mabinti ambao ni wahanga wakubwa na watoto wanaozaliwa, elimu, elimu, elimu ni muhimu sana muheshimiwa namna ya kujilinda hasa juu ya udanganyifu, juu ya uzazi wa mpango pia kwa mabinti ziwepo asasi inayoangazia masuala hayo iwafikie hadi vijijini ndanindani hukoSasa kama kasi ya kudanganywa ama kudanganyana imekuwa kubwa hivi, unaonaje kila mmoja afahamu kuhusu baadhi kasi hii ili, abebe wajibu wa kujihami kwa kujiandaa kimaisha kwanza kabla ya kuingia kwenye mahusiano ili, uongo ukijibainisha basi, kusiwe na heka heka za itakuwaje sasa bali, kila mmoja aendelee na maisha yake kwa amani? Nini maoni yako?
Kila kitu mkitaka Serikali iwwsaidie tutakuwa na hopeless countryElimu wezeshi kwenye akili hasa za mabinti ambao ni wahanga wakubwa na watoto wanaozaliwa, elimu, elimu, elimu ni muhimu sana muheshimiwa namna ya kujilinda hasa juu ya udanganyifu, juu ya uzazi wa mpango pia kwa mabinti ziwepo asasi inayoangazia masuala hayo iwafikie hadi vijijini ndanindani huko
Nakubalianana wewe kabisaaaa, wiki iliyopita kwenye mjadala wa akina baba na matunzo, niliomba wenye moyo wa kutoa mawazo wajitokeze tushirikiane, nikapata watu 6 wenye ari zao za asili. Kuna haja ya kuanzisha hata jambo dogo la elimu ya kijamii, jambo hilo, litashamiri lenyewe.... ahsante sana, na wewe naona una ari, karibu sana....Elimu wezeshi kwenye akili hasa za mabinti ambao ni wahanga wakubwa na watoto wanaozaliwa, elimu, elimu, elimu ni muhimu sana muheshimiwa namna ya kujilinda hasa juu ya udanganyifu, juu ya uzazi wa mpango pia kwa mabinti ziwepo asasi inayoangazia masuala hayo iwafikie hadi vijijini ndanindani huko
Acha kukwepa majukumu kafate mtoto umlee mwenyewe ungekua ndugu yangu ningekulamba makofiInasikitisha noni sasa hahaha. Nacheka kama dharau ila sijui nyie familia zenu zipoje ila kifupi Mimi na mama wote watumish na wote NI below 50..sasa haiwezekan kwamba wote hatuwezi kukalea katoto kamoto ni basi Tu mama ana nyumba kubwa na napenda katoto sasa afanye nini zaidi ya kukataka na analala nacho still kakiwa kachanga what a wonderful love me niipinge
Sijasema serikali, asasi zipo za kiraia zinazosaidia jamii kwa mambo mengi, ila pia na serikali lazima ifanye jambo juu ya janga hilo maana masikini wasiojiweza huwa ni mzigo kwa serikali ndio maana wana TASAF inawasaidia....jua kwamba ukosefu wa mawazo yaliyo pevuka ndiyo hupelekea yote hayo.Kila kitu mkitaka Serikali iwwsaidie tutakuwa na hopeless country
Inajulika kuwa sex IPO kwa ajili ya ambao wameoana na ukifanya tofauti either upate mimba ambayo haina baba au magonjwa
Mambo mengine tutaichosha Serikali ikiwa mabinti wataendelea kutojijalia watazalishwa Sana na kuwa single mother
Your life is ur responsibility hundred percent and not the burden of the government.
Serikali inayofikiria kuiba kura , n.k unafikiri itakaa kumfikiria binti aliyepewa mimba na kupeleka mtoto kwa bibi
Hii imekuwa mission yangu siku nyingi sana mheshimiwa hata nikipata muda wa kuongea na wachache katika jamii huwa sisiti kufanya hivyo. Elimu ni nguzo kubwa sana katika kufanya maamuzi, maana mtu anapokuwa na mwanga katika akili yake sio rahisi kurubunika/kudanganywa bila kufikiria future yake na mtoto wake. Huwa nawafikiria tu mabinti walio bahatika kupata elimu hadi juu huwa na maamuzi mazuri juu maisha yao sio sawa na hawa ambao hawakubahatika....hivyo elimu ya kujitegemea, kufanya maamuzi sahihi, kujishughulisha/kujiajiri ni muhimu juu ya mabinti zetu ambao wanaleta mzigo tena kwa wazazi wao ambao nao pia unakuta uwezo ni mdogo wa kulea wajukuu matokeo yake wanazalisha watoto wa mtaani wengi na baadaye vibaka na majambaziNakubalianana wewe kabisaaaa, wiki iliyopita kwenye mjadala wa akina baba na matunzo, niliomba wenye moyo wa kutoa mawazo wajitokeze tushirikiane, nikapata watu 6 wenye ari zao za asili. Kuna haja ya kuanzisha hata jambo dogo la elimu ya kijamii, jambo hilo, litashamiri lenyewe.... ahsante sana, na wewe naona una ari, karibu sana....
Porini hukuPole. Upo wapi?
Nije?Porini huku
unachelewa nini,, ilibidi uwe ushafkaNije?
Wapi huko?unachelewa nini,, ilibidi uwe ushafka
Yani unaulza tena na nilshajib poriniWapi huko?
Pori la akibaYani unaulza tena na nilshajib porini
Ndio mkuuPori la akiba