Wadada hii tabia za kuzalishwa huko mijini(jiji) kisha watoto kuwapeleka kwa bibi zao zikome

Shida ya Hiki Kisasi cha Nyoka Yani
Mtoto anakuwa na Mtoto
 
Afu hili swala limeshika kas sana na imekua kama fashion yaan mabinti ages ya 25 Hadi 30 either ana mtoto au alitoa mimba.
 
Walaumiwe wazazi pia,mama yangu anasema yeye ameshalea watoto wake halei tena mtoto mwenye mzazi wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…