Wadada hili vazi ni kwa ajili ya nini haswa?

Wadada hili vazi ni kwa ajili ya nini haswa?

Alafu nimewaza biashara ya chupi za wanawake itakuwa inalipa sana
Hiko kidude si unaweza agiza piece hata 50k hata boksi hazijai alafu unamfuata mfanyabiashara anayeagiza kwenye kontena anakuwekea kamzigo kako kakipita unakuja kujaza duka mtaani 🤔
 
Sijui kama binti yangu kule boarding anapewa hili somo.
Katika mambo ambayo mama hawafanyi vizuri ni kuwafutia binti zao, tangu utoton, nadharia ya kuwa wapo kwa ajiri ya kuwa inspire wavulana/wanaume. (Girls diplay, boys watch).
Hali hii inawastress sana na kushindwa kuwa wao.
 

Attachments

  • jitambue.mp4
    899.8 KB
Back
Top Bottom