Wadada hili vazi ni kwa ajili ya nini haswa?

Hapo vi ungeweka mi asee
Ni mi cramps

Maumivu yake ๐Ÿ™Œ
Mtu hadi unajiuliza kiunoni na tumboni kuna ishu gani ๐Ÿ˜ฅ
Bibie, Mara nyingine ukiingia period na tumbo kukuuma sana fanya hivi

Chemsha Tangawizi iwe kali sana na ichemke haswaa, Tia Asali Mbichi unywe ikiwa ya moto. Utalisikia litakakopotelea baada ya muda mchache tu.

Nb; Sitaki mtu Pm
 
Mkuu,ulichoandika nilishafanya mara nyingi lakini hakuna unafuu

Halafu ajabu umeni-quote wakati ambao na-experience hayo maumivu
 
Back
Top Bottom