AyaHahaha sitii neno mkuu ππππ hapo ni ww tu.
Mishe.mishe ajesijambo dada mkubwa
Kaka mdogo ni hizi autocorrect ππunasemaje?π
Hamna namna, kua mpole hata Ronaldo kapita hukomishe ndo ile ile, kula ugali wa shkamooπ
Niombee kwa MUNGU wako upate shem wauhakika ππmsalimie shemejiπ
Bibie, Mara nyingine ukiingia period na tumbo kukuuma sana fanya hiviHapo vi ungeweka mi asee
Ni mi cramps
Maumivu yake π
Mtu hadi unajiuliza kiunoni na tumboni kuna ishu gani π₯
Bibie, Mara nyingine ukiingia period na tumbo kukuuma sana fanya hivi
Chemsha Tangawizi iwe kali sana na ichemke haswaa, Tia Asali Mbichi unywe ikiwa ya moto. Utalisikia litakakopotelea baada ya muda mchache tu.
Nb; Sitaki mtu Pm
Umewahi kutumia Mziwa ziwa?Mkuu,ulichoandika nilishafanya mara nyingi lakini hakuna unafuu
Halafu ajabu umeni-quote wakati ambao na-experience hayo maumivu