Wadada JF Mnaziona Design za KUCHA Hizi??

Wadada JF Mnaziona Design za KUCHA Hizi??

gharama ya kutengeza hizo kucha ni tsh elfu 30 hadi 60.
Mda wa kukaa saloon ni masaa 3. Unakaanazo zaidi ya miezi 2
na unafanya kazi zote

wapi hapo nami niende? It worthy it kama ni kweli.
 
Gharama ya kutengeza hizo kucha ni tsh elfu 30 hadi 60.
mda wa kukaa saloon ni masaa 3. unakaanazo zaidi ya miezi 2
na unafanya kazi zote

Duh! 150000 mpaka 300000 kwa mkono! Na akiamua kupamba mpaka za kwenye miguu basi 600000 hadi 1200000! halafu kila miezi 2 ni ajuwaa tena. Ukifika mwaka si umeishanunua kamkweche katokea nje? Hakuna diskaunti huko? Naona ni bei za kawaida maana hamna anayestuka. Vijana mna kazi.

Amandla......
 
Hivi hiyo mikono inaweza kushika jembe? Maana..when chips are down..we might need to go back kulima...sasa hivyo vidole..duh..pagumu hapo...

we unasema jembe! Hakuna kuosha vyombo wala kufua.
Kupika inategemea.
 
Hizo kucha si zinawakata wanapochamba, au hawachambi? Lakini wazungu huwa wanatumia toilet paper, pamoja na hayo wakati wa kuoga sehemu zote je? isije kuwa mnatengeneza vimkwaruzo hatari kwa maambukizo ya ukimwi!
 
Inapendeza kutegemeana na mikono, sasa usijaribu ikiwa mikono yako haijatulia tafadhali.
 
Hizo kucha si zinawakata wanapochamba, au hawachambi? Lakini wazungu huwa wanatumia toilet paper, pamoja na hayo wakati wa kuoga sehemu zote je? isije kuwa mnatengeneza vimkwaruzo hatari kwa maambukizo ya ukimwi!

mmmhhh wewe tulia basi kidogo....
 
Gharama ya kutengeza hizo kucha ni tsh elfu 30 hadi 60.
mda wa kukaa saloon ni masaa 3. unakaanazo zaidi ya miezi 2
na unafanya kazi zote

Wp hapo mkuu tuwapeleke wakajinakshi
 
HApa Lulu lazima aige tu faster!
 
ni nzuri sana....asante kwa kutuwekea......

Ni urembo mzuri sana.
Mmmh dada yangu Preta hiyo avatar imekuwaje tena? Mbona kama unasaula vitu vya ndani kutoka maungoni mwako mwa siri?
 
Back
Top Bottom