Maria Roza
JF-Expert Member
- Apr 1, 2009
- 6,803
- 1,601
Hebu Preta na MR anzeni nazo hizi 2011
Nimeanza nazo tayari asante sn kwa picha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hebu Preta na MR anzeni nazo hizi 2011
ni nzuri sana....asante kwa kutuwekea......
hivi weusi hawanakshi kucha zao?
Amandla.....
gharama ya kutengeza hizo kucha ni tsh elfu 30 hadi 60.
Mda wa kukaa saloon ni masaa 3. Unakaanazo zaidi ya miezi 2
na unafanya kazi zote
tunanakshi sanaaaaa.
Gharama ya kutengeza hizo kucha ni tsh elfu 30 hadi 60.
mda wa kukaa saloon ni masaa 3. unakaanazo zaidi ya miezi 2
na unafanya kazi zote
Hivi hiyo mikono inaweza kushika jembe? Maana..when chips are down..we might need to go back kulima...sasa hivyo vidole..duh..pagumu hapo...
Hizo kucha si zinawakata wanapochamba, au hawachambi? Lakini wazungu huwa wanatumia toilet paper, pamoja na hayo wakati wa kuoga sehemu zote je? isije kuwa mnatengeneza vimkwaruzo hatari kwa maambukizo ya ukimwi!
ni nzuri sana....asante kwa kutuwekea......