Hahaha sio kweliHilo gonjwa liko upande wa pili kwa wanawake wala halipo hivyo tuacheni. Tulio wengi tukitoka kuoga mpaka mwili mzima uenee mafuta ndio tunaanza kuvaa nguo.
Upande wa pili ndio hii shida imeshamiri yaani unaweza ona mwanaume kapauka kuanzia uso, midomo mpaka viganja vya mikono sasa kama huyo unadhani atakuwa kakumbuka kupaka kalio mafuta kweli.
Penye ukweli usemwe na sio kila siku kulalia upande mmoja.
Hahahaha naona mnapotea dar mtani kama faru john kifupi hampoHujakosea kabisa mtani. Hahahaaa
Hahahaaa. Hapo kwenye kupaka mafuta nakubali aisee sababu sijawahi acha kupaka mafuta ilo eneo hata siku moja.
Ila hayo ya ulaini sina uhakika.
Hivi upo swahiba. Mzima?Hahaha sio kweli
Nipo swahiba. Mi mzima vip wewe?Hivi upo swahiba. Mzima?
Hahahahaaaa. Tumewaachia wageni wauchangamshe mji.Hahahaha naona mnapotea dar mtani kama faru john kifupi hampo
Mie sijambo. Vp uzima upo sababu sio kwa kupotea kule swahiba.Nipo swahiba. Mi mzima vip wewe?
Niko fresh swahiba, ubize tu ndo unatupoteza humu unachungulia tu unasepaMie sijambo. Vp uzima upo sababu sio kwa kupotea kule swahiba.
Ahaaa. Usijali swahiba karibu tena.Niko fresh swahiba, ubize tu ndo unatupoteza humu unachungulia tu unasepa
Asante swahibaAhaaa. Usijali swahiba karibu tena.
Usijali swahiba karibu.Asante swahiba
Sawa mtani wangu ila ningependa nikuoneeeHahahahaaaa. Tumewaachia wageni wauchangamshe mji.
Hahahaaa. Aiseeeeeeee.Sawa mtani wangu ila ningependa nikuoneee
Uni pm mtaniHahahaaa. Aiseeeeeeee.
Tutaonana mtani.
Ndotoni[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sasa kama ulikuwa umelala hayo makalio umeyaona wapi kk
We kijana kama demu wako ana kalio gumu usifkir wanawake wote wapo ivo.Kwa kweli haipendezi hata kidogo kukuta mtoto wa kike anakalio gumu.
Kama umeshindwa kununua lotion kwa ajili ya kupaka makalioni basi pakaa hata mafuta ya nazi au mafuta ya kula.
Haya usiku mwema
Niliamka kidogo kuwapa ushauri.
Kama demu wako ana kalio gumu usifikir wanawake wote wapo ivo ndugu.Kwa kweli haipendezi hata kidogo kukuta mtoto wa kike anakalio gumu.
Kama umeshindwa kununua lotion kwa ajili ya kupaka makalioni basi pakaa hata mafuta ya nazi au mafuta ya kula.
Haya usiku mwema
Niliamka kidogo kuwapa ushauri.