mshipa
JF-Expert Member
- Jun 16, 2015
- 12,253
- 22,843
Hahaha sio kweliHilo gonjwa liko upande wa pili kwa wanawake wala halipo hivyo tuacheni. Tulio wengi tukitoka kuoga mpaka mwili mzima uenee mafuta ndio tunaanza kuvaa nguo.
Upande wa pili ndio hii shida imeshamiri yaani unaweza ona mwanaume kapauka kuanzia uso, midomo mpaka viganja vya mikono sasa kama huyo unadhani atakuwa kakumbuka kupaka kalio mafuta kweli.
Penye ukweli usemwe na sio kila siku kulalia upande mmoja.