Wadada jitahidini kupaka mafuta makalio yenu

Wadada jitahidini kupaka mafuta makalio yenu

We ni tofauti na alomwona jamaa. We ukitoka kuoga unapaka mwili wote so obvious litakuwa soft na tamu...hata kwa kupapasa[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Hahahaaa. Hapo kwenye kupaka mafuta nakubali aisee sababu sijawahi acha kupaka mafuta ilo eneo hata siku moja.

Ila hayo ya ulaini sina uhakika.
 
Hahahaaa. Hapo kwenye kupaka mafuta nakubali aisee sababu sijawahi acha kupaka mafuta ilo eneo hata siku moja.

Ila hayo ya ulaini sina uhakika.
Niletee niprove kama likuwa gumu nitalimwagia chai ya moto liwe laini Hakunaga mkate mgumu mbele ya chai yangu
 
Mwanaume kupaka kalio mafuta ni ishara ya ushoga, mwanaume anatakiwa apake mafuta mashine tu basi hayo mengine ni ziada tu

Mwanaume unakuwa na ngozi ngumu maana hata club ukishikwa kidogo kama unangozi laini utaonekana jike hivyo ngozi ngumu kalio gumu ni ishu zetu
 
"Ndege wenye rangi moja, huruka pamoja."

Jifunze kuwa na tabia ya kutatua TATIZO au kutoa ushauri ikibidi na sio kulalamika au kulaumu.
 
Kalio linaweza kupakwa mafuta lakini kama ni gumu na limekaza kama mbata(nazi iliyokauka na maganda yake), hapo tunasema work done is equal to zero.
 
Back
Top Bottom