Wadada jitahidini kupaka mafuta makalio yenu

Wadada jitahidini kupaka mafuta makalio yenu

Hilo gonjwa liko upande wa pili kwa wanawake wala halipo hivyo tuacheni. Tulio wengi tukitoka kuoga mpaka mwili mzima uenee mafuta ndio tunaanza kuvaa nguo.

Upande wa pili ndio hii shida imeshamiri yaani unaweza ona mwanaume kapauka kuanzia uso, midomo mpaka viganja vya mikono sasa kama huyo unadhani atakuwa kakumbuka kupaka kalio mafuta kweli.

Penye ukweli usemwe na sio kila siku kulalia upande mmoja.
Mwanaume apake kalio lotion? Tutake radhi tafadhali?
 
Ila ulaini wa matako nao hauchangiwi na mafuta ni nature ya mtu tu! Ila ni muhimu kupaka ili kupunguza mpauko lol
 
Hahahaaaa. Niamini tu mkuu ni gumu kuliko.
Anayeaminiwa bila kuonwa ni muumba tu vingine vyote hatuamini mpaka tuone Nipe nafasi ya kuprove Nikikuta gumu nitalilainisha usije ukanangwa kama mwenzako
 
Broo ulienda kufanya nini kwenye hayo makalio, siyo kweli kuwa wewe ni dokta, na kama dokta upo mkoa gani ambako akina dada makalio yao ni magumu? .
 
Hilo gonjwa liko upande wa pili kwa wanawake wala halipo hivyo tuacheni. Tulio wengi tukitoka kuoga mpaka mwili mzima uenee mafuta ndio tunaanza kuvaa nguo.

Upande wa pili ndio hii shida imeshamiri yaani unaweza ona mwanaume kapauka kuanzia uso, midomo mpaka viganja vya mikono sasa kama huyo unadhani atakuwa kakumbuka kupaka kalio mafuta kweli.

Penye ukweli usemwe na sio kila siku kulalia upande mmoja.
Ah sasa mi nipake makalio mafuta ya nn
 
Hao wa kwako huwa unawazoa wapi? maana haya ndio nasikia kwako.
 
Shilole anaweza sana mambo hayo ya kupaka mafuta itabidi tumuite kwa semina elekez
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Kwani watani zako wanatokea pande zipi. Katika pande utakazoziwaza basi moja natokea mimi mtani wako.
Hahaha utakua mzaramo wa msanga ww
 
Back
Top Bottom