Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,335
utakuta binti ni rafik au mchumba anajua kabisa yeye yuko Tanzania wewe uko Asia/America. Harafu anakukaribisha chakula eti njoo ule .Ambacho naona usanii sasa ni pale anapotaka na yeye umkaribishe usipofanya hivo amuelewani na ni rafiki tu.
Cha ajabu ukiwa karibu wala awakukaribishi huo msosi. kuwalizisha unaweza ukawa zako barabaran au umelala harafu unawatumia msg karibu chakula wakat ata hauna msosi apo.
Tuwe tunakaribishana msosi pale tunapokuwa karibu si mambo za kinafiki. Kukaribisha kwa vile unajua sitoweza kuja.
Ni hayo tu