Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,335
sawa.....hatufanyi tena hivyo.....tusamehe........
Duh! Kama ulikaribishwa msosi unaupenda vile!!!
Uroho tu! lol!
...
Mkuu mapenzi/urafiki bila ya kutaniana/kupandishana presha na kushushana inakua hainogi!!!!
...
Don quote me plz!
Mwenzio napenda sana ako kamchezo! Tena sometimes namuuliza "umevaa pi.chu rangi gani?" akisema jeusi au jekundu namwambia akabadilishe haraka sana!!!!! Hahahahahahahaaaaa! Mapenzi ni FREE STYLE bhana!
tatizo ni rafik anapokununia kisa aujamkaribisha wakat mko mbalimbali sana.msosi is a big deal?!
Utoto raha sana.
utakuta binti ni rafik au mchumba anajua kabisa yeye yuko Tanzania wewe uko Asia/America. Harafu anakukaribisha chakula eti njoo ule .Ambacho naona usanii sasa ni pale anapotaka na yeye umkaribishe usipofanya hivo amuelewani na ni rafiki tu.
Cha ajabu ukiwa karibu wala awakukaribishi huo msosi. kuwalizisha unaweza ukawa zako barabaran au umelala harafu unawatumia msg karibu chakula wakat ata hauna msosi apo.
Tuwe tunakaribishana msosi pale tunapokuwa karibu si mambo za kinafiki. Kukaribisha kwa vile unajua sitoweza kuja.
Ni hayo tu