Wadada mliowahi kutafuta wachumba JF na kupata njooni hapa

Status
Not open for further replies.
NDIO!
Nilimpata wakati niko na majonzi ya Usaliti kutoka kwa jamaa mmoja humuhumu jukwaani
Hata sasa mwaka umepita
Yeye ni rafiki kwangu
Mpenzi
SexPartner
Mwalimu
Kiongozi
Mshauri
Amenizidi sana umri lakini...(KidondaTamuNziNdioHufia)Nampenda Sana thou sijui yeye kama anafeel the same
Mungu akiruhusu nitamfanya Baba wa mtoto wangu wa kwanza
 
Wewe [emoji172] [emoji172] [emoji172] [emoji172]
 
Mungu akusaidie rubii atimize ndoto zako aje kuwa baba mtto wako
 

Kwa kuwapenda wazee hujambo!
 
Pole sana bebe..Naamini mambo yataenda fresh..Kila la kheri
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…