Wadada mliowahi kutafuta wachumba JF na kupata njooni hapa

Wadada mliowahi kutafuta wachumba JF na kupata njooni hapa

Status
Not open for further replies.
NDIO!
Nilimpata wakati niko na majonzi ya Usaliti kutoka kwa jamaa mmoja humuhumu jukwaani
Hata sasa mwaka umepita
Yeye ni rafiki kwangu
Mpenzi
SexPartner
Mwalimu
Kiongozi
Mshauri
Amenizidi sana umri lakini...(KidondaTamuNziNdioHufia)Nampenda Sana thou sijui yeye kama anafeel the same
Mungu akiruhusu nitamfanya Baba wa mtoto wangu wa kwanza
Hongera
 
Penye nia pana njia Rubii. All the best mkuu
 
Niliwahi kupata, na tulidumu kwenye uhusiano kwa miaka miwili, he is a good guy but at the end of the day tulishindwana kwenye baadhi ya mambo kama ambavyo tu inaweza kutokea kwa mtu uliyekutana nae hata kanisani or anywhere else. Kikubwa unapaswa kua makini kwenye kuchagua maana humu JF kuna watu wa kila aina kama tu ilivyo mtaani. Kuna wenye nia njema, kuna wenye nia mbaya pia so the choice is yours.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom