Wadada mliowahi kutafuta wachumba JF na kupata njooni hapa

Status
Not open for further replies.
Hahahaaaaa!!! Ndio maana wale wanaowekaga mahusiano yao public humu hata huwa siwalaumu walavkuwashangaa!! Wanaepusha misongamano kama hii.
Kweli kabisa!!! Na wale wa kula kila kinachowapitia mbele watapunguza mitongozo ya kishkaji... Kuna wanaume hawajielewi kabisa humu... Wao kila PM ya mdada utawakuta wanatongoza.
 
tafadhari njoo pm. i mean it!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ujanja kuwahi shosti!!! Bora Venus ajue kabisa kua ana wapinzani!!! Kizuri gawana na mwenzio..
 
Du! Pole! Hii ya kunyweshana damu siielewagi!! Yaani Ni kupendana sana na yamini au shida??? Kweli wengine hatujui kupendana, bali twaishi vizuri tu huku mtaani.
Hii ya kunyweshana damu ni utoto wa mwendokasi, watu wazima walio timamu hawawezi fanya hayo mambo.
 
One word "MATURITY"

Wengine kuachana bila kusemana vibaya ni mwiko
 
Mwanzoni I thought zile was just jokes tu[emoji23][emoji23][emoji23] aisee abiria chunga mzigo wako. Itabidi tu ili kuepuka mapinduzi namimi nimuweke hadharani "comforter In Chief" wangu.
Hebu muweke hadharani bwana. Muite na RRONDO afanye haraka, mana yule hadi na thread alianzisha, foleni yake sio ya nchi hii.
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Mi sipendi kuomba. Maana nikikuomba ukaninyima ntakununia. Sasa ni bora bby ujiongeze tu unipe maana nastahili kupewa kwanini nikuombe?. Ila nimeshasemwa sana na hili suala langu la kujitia kibri kwenye hela, naanza kuomba. Asante kwa somo mamdogo
Mie ukisubiri nikuombe bila kujiongeza nakuacha!! Wa nini sasa wa hivyo!!!
 
Kweli kabisa!!! Na wale wa kula kila kinachowapitia mbele watapunguza mitongozo ya kishkaji... Kuna wanaume hawajielewi kabisa humu... Wao kila PM ya mdada utawakuta wanatongoza.
Unajiona umepataaaa, kumbe upepatwa mpato matataaaa!!!
Teh teh teeeeeh!!!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…