miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,811
- 49,053
KabisaNitajitahidi nimeona pesa heiletewi kiburi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KabisaNitajitahidi nimeona pesa heiletewi kiburi.
Kweli kabisa!!! Na wale wa kula kila kinachowapitia mbele watapunguza mitongozo ya kishkaji... Kuna wanaume hawajielewi kabisa humu... Wao kila PM ya mdada utawakuta wanatongoza.Hahahaaaaa!!! Ndio maana wale wanaowekaga mahusiano yao public humu hata huwa siwalaumu walavkuwashangaa!! Wanaepusha misongamano kama hii.
kuwadi?[emoji15] [emoji2]mimi nimetafuta hadi nimechooka hata sitaki tena natafutia tu watu
tafadhari njoo pm. i mean it!Niliwahi kupata, na tulidumu kwenye uhusiano kwa miaka miwili, he is a good guy but at the end of the day tulishindwana kwenye baadhi ya mambo kama ambavyo tu inaweza kutokea kwa mtu uliyekutana nae hata kanisani or anywhere else. Kikubwa unapaswa kua makini kwenye kuchagua maana humu JF kuna watu wa kila aina kama tu ilivyo mtaani. Kuna wenye nia njema, kuna wenye nia mbaya pia so the choice is yours.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ujanja kuwahi shosti!!! Bora Venus ajue kabisa kua ana wapinzani!!! Kizuri gawana na mwenzio..Nimejaribu kufuatilia hii league sioni ilipoanzia. Naombeni msaada wa yalipoanzia haya majibizano na mie nile ubuyu.
Binadamu hanyimwi ubuyu ananyimwa pesa.
Ila nimegundua huku kuna mambo mengi zaidi ya nilivyokua nachukulia. Yani kuna watu wanaishi kama wanaonana vile.
NB: Kaka unaegombaniwa kama wewe ni Mkurya naomba namba wakitoka wengine unaonekana mtamu chief sio kwa majibizano hayo.
Hii ya kunyweshana damu ni utoto wa mwendokasi, watu wazima walio timamu hawawezi fanya hayo mambo.Du! Pole! Hii ya kunyweshana damu siielewagi!! Yaani Ni kupendana sana na yamini au shida??? Kweli wengine hatujui kupendana, bali twaishi vizuri tu huku mtaani.
Unalako jambo mbona mm nimekunywesha wwHii ya kunyweshana damu ni utoto wa mwendokasi, watu wazima walio timamu hawawezi fanya hayo mambo.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Khaa sio kwa kunitenga huko
One word "MATURITY"Niliwahi kupata, na tulidumu kwenye uhusiano kwa miaka miwili, he is a good guy but at the end of the day tulishindwana kwenye baadhi ya mambo kama ambavyo tu inaweza kutokea kwa mtu uliyekutana nae hata kanisani or anywhere else. Kikubwa unapaswa kua makini kwenye kuchagua maana humu JF kuna watu wa kila aina kama tu ilivyo mtaani. Kuna wenye nia njema, kuna wenye nia mbaya pia so the choice is yours.
Hebu muweke hadharani bwana. Muite na RRONDO afanye haraka, mana yule hadi na thread alianzisha, foleni yake sio ya nchi hii.Mwanzoni I thought zile was just jokes tu[emoji23][emoji23][emoji23] aisee abiria chunga mzigo wako. Itabidi tu ili kuepuka mapinduzi namimi nimuweke hadharani "comforter In Chief" wangu.
Haha nikopeshe afu Ntakurudishia double[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kama nakuona vile, nipe hela nisikutenge.
Heaven Sent ukuje umtaje wa kwako, isije ikawa mama na mwana tumepangwa foleni.Yap!, kwa kweli hii ndo sawa. Na huyo atakayejitosa kwenye mahusiano ya wengine ya wazi atakuwa kweli kaamua.
Mie ukisubiri nikuombe bila kujiongeza nakuacha!! Wa nini sasa wa hivyo!!!Mi sipendi kuomba. Maana nikikuomba ukaninyima ntakununia. Sasa ni bora bby ujiongeze tu unipe maana nastahili kupewa kwanini nikuombe?. Ila nimeshasemwa sana na hili suala langu la kujitia kibri kwenye hela, naanza kuomba. Asante kwa somo mamdogo
cc yeezusHa ha a a Pole mkuu
Kuomba hela zambi mama anguMie ukisubiri nikuombe bila kujiongeza nakuacha!! Wa nini sasa wa hivyo!!!
Unajiona umepataaaa, kumbe upepatwa mpato matataaaa!!!Kweli kabisa!!! Na wale wa kula kila kinachowapitia mbele watapunguza mitongozo ya kishkaji... Kuna wanaume hawajielewi kabisa humu... Wao kila PM ya mdada utawakuta wanatongoza.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Haha nikopeshe afu Ntakurudishia double
Haha kuna watu wana dhambi dunia hii, mtu anakula kuku na mayai yakeHeaven Sent ukuje umtaje wa kwako, isije ikawa mama na mwana tumepangwa foleni.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unajiona umepataaaa, kumbe upepatwa mpato matataaaa!!!
Teh teh teeeeeh!!!