Acheni kulaumu wanawake, niwewe mwenyewe mwanaume katika kuchagua kwako, na unaona toka mwanzo anakupiga mizinga, unamzoesha tu.
Mambo ya hela yakienda kombo ndio unaanza lalamika na kuona hilo kwa macho mawili.
Sijui hao wanawake wako wapi wa kupiga mizinga mara zote.
Anzisheni kampeni ya tokomeza mizinga labda wenye tabia hiyo, wataona aibu.
Pia tatizo la kutokubaliana mapema mkiwa mnaanza mapenzi, lazima mjadili hayo yote ikiwemo suala la hela.
Safiii!!! Prevention is better than cure!!
Nilikutana na mdada mmoja kimara! Kumuuliza jina lako nani tu_____ Juice ya mango azam!(Nikatoa),Kumwambia naondoka Chips kuku(sina hela).Tukapanga tuonane after 2days!! Sms kibao za kiingereza zikamiminika siku nzima baada ya hapo nikapiga!! Kaniambia atanitumia sms!! Nataka niende saloon(sina hela) Nika delete na namba yake na appointment ikafa kibudu!! Hata papuchii hujaiona msululu wa request kibao!!
Lets change tuachane na milupo!!!!
Prevention is better than cure!! Akitaka kukufanya ATM unaachana naye mapema!