Wadada mmezidi kupiga mizinga (kuomba hela)

Wadada mmezidi kupiga mizinga (kuomba hela)

hahahaaa kijana acha ku panic...ukingia katika gemu kama hizi.....ni ivi ukikutana na mdada mwenye.....wa aina hii unachotakiwa ujifunzee....mchezoo...unaitwa nusu kaputi yaani ....ukiobwa hela....unamjibu mdada hivi....""usijali mpenzi njoo getto ujee uchukue....maana line yangu ya tigo pesa au mpesa zina matatizoo njoo getto nikupe"" halafu kwa maliziaa ...ukisemaa mwaaa halafu dia nina nyeg""e....uone kama atakutafutaa .....wala kukuomba hela""" mwambie njooo getto uchukuee usikie majibu yakee
😂😂😂
 
Daah! jamani hii ni hatari yaani usimzoee mdada kidogo tu hata hujamtongoza kashaanza kukupiga mzinga mara ninunulie simu, hela saloon, mara weekend twende wapi! mara mama anaumwa naomba uniongezee hela ya dawa.

Kina dada hali yenyewe si mnaiona jamani?

Mbona mnataka tuwe wezi bila kutaka?
Hii nyuzi ilinipita vipi aisee toka 2014??
 
Umenikumbusha machungu,kuna kitoto nilikitongoza tangu mwaka jana mpaka leo sijakatafuna ila nimepigwa mizinga karibia arobaini elfu inafika. Najaribu kaje nikapige mpini mara ooh naogopa namna ya kutoka,mara niko bleed,mara naomba nauli.
Ila hiyo hela katailipa siku yake ngoja nijifanye mtaka cha uvunguni.
 
Back
Top Bottom