Wadada mmezidi kupiga mizinga (kuomba hela)

Wadada mmezidi kupiga mizinga (kuomba hela)

Kama ukweni nyumba imebomelewa itajengwa na wakwe au mashemeji.
Mnacomplicate sana maisha watu humu ndani,sioni sababu ya kulalamika hapa,sidhani kama kuna watu watakuja kuoa humu ndani.

Sababu kama unalalamika kuombwa hela ya dawa,ukiambiwa ukweni nyumba imebomolewa na mafuriko utafanyaje,au utachukulia umepewa tu taarifa ili ufahamu,baasi.

Unalalamika kuombwa msaada wa kusaidia mgonjwa apone? We ni undertaker nini?
 
Mimi kuna mdada mmoja sina mazoea naye kihivyo ila tunasalimiana tu kule wanakoishi wazazi wangu hapa Dar (jina kapuni). Nikiendaga kusalimia wazazi mara nyingi namuona ila nilikuwa sijuwi kama mumewe yuko nje ya nchi (mtaani wanadai ni zungu la unga huko Italy/Uturuki), bi dada kwa kweli anavutia ile mbaya. Kwa uzuri wake tu nilijuwa kuwa lazima atakuwa na jamaa mwenye pesa za hajabu na sikuwa na wazo lolote la kumtokea kwani ni jirani na wazazi. Siku moja niko bar fulani maeneo yale akaniona akiwa na mwenzake nikawakaribisha kwa kiungwana wakaja. Tukaanza kupiga stori tu kama kawaida then baadaye mwenzake alipoondoka yule bi dada akaanza kunisimulia matatizo yake na kuniomba nimuanzishie mtaji ili aweze awasomeshe watoto wake bila matatizo. Nikamtolea nje kiutu uzima, akuridhika akaniomba nimlipie pango la nyumba la miezi 6 ijayo kwani walikuwa wanadaiwa ku renew their lease nikamwambia sitaweza kwani nilijuwa ni mke wa mtu na anayekula mali ni mwingine ya nini mimi nigharamie? Mind you sikumtongoza wala nini na sina mazoea naye kihivyo. Kina dada wengine kwa kweli mmezidi.
True. Wadada ni wasumbufu mno. Kuna mmoja nilimtongoza ananiorodheshea matatizo balaa.
 
Daah! jamani hii ni hatari yaani usimzoee mdada kidogo tu hata hujamtongoza kashaanza kukupiga mzinga mara ninunulie simu, hela saloon, mara weekend twende wapi! mara mama anaumwa naomba uniongezee hela ya dawa.

Kina dada hali yenyewe si mnaiona jamani?

Mbona mnataka tuwe wezi bila kutaka?
Gold diggers
 
hivi kama kitu umepewa bure kwa nini we utoze hela kumpatia mwenzako?
kwa mfano mi ni free of charge kwa anaetaka ku use my dushe.
na cjawahi kumtoza mtu kwa wote waliowah kuniomba.
Toa na tigo free basi io pia c umepewa bure
 
Mama anaumwa! Sina hela ya kula! Vocha uliyonitumia imekatwa nilikuwa nimekopa! Kuna kitop nimekipenda nimekopa dear! Nadaiwa hela ya mchezo honey! Sijaona meseji ya hela uliyonitumia sweetie! Baby nina hamu na juice!
Ha ha ha ha aaah! Mjini shule mkuu! Mi nachekaga sana!
Kwangu BIG NO kuna mmoja kanitumia juz sms eti upo emergency hospital mama ake kazidiwa sikumjibu kitu mm
 
Wengjne wanatumia neno "K" baby naomba 30K duh siku ya kwanza kujua matumizi ya K nilichoka kwanza nilidata, nikakaa chini nikahoji 3k si milioni hiyo? Nina gugo nikaona kumbe no 30,000/- mamaae nikamwambia nimekwamba Gari imegonga, nichekie elf10, baasae nikamtumia 20k tukawatumelipana, japo yeye amepata 10 juu
Mkuu ata Mimi nilikua sijui maana yake kumbe k=1000
30*1000=30,000/=
Hii Ni sawa na unit za umeme(SI)
K=kilovolt=1000,
M=Megawatt=10,000.
 
Back
Top Bottom