Wadada mnaofanya mazoezi ya kukimbia huku Mbezi Beach Chini na Kunduchi mtuhurumie jamani

Wadada mnaofanya mazoezi ya kukimbia huku Mbezi Beach Chini na Kunduchi mtuhurumie jamani

N'yadikwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2014
Posts
7,427
Reaction score
10,905
Wenye sijui mnaita matembezi ya jioni

Yaani wanavaa viutumbo halafu transparent halafu mavazi ya ndani yanaonekana laivu...kwa mfano leo narudi zangu home kutoka job huku Mbezi Beach karibia na Juliana yaani kuna dada ameumbikaa huuyoo halafu katuvalia tight lutumbo na kiwalo cheupe cha ndani yaani kinaonekana laivu dah eneo langu nyeti likaanza kuhangaika na alimanusura nimgonge jamaa na liVW lake kwa nyuma.

Mtuhurumie jamani na najua wengi ni wadada ambao mko likizo ya COVID-19 kwa hiyo mnaweka miili active ila mnatuteza jamani vaeni nzitonzito mtasababisha ajali !

Hata asubuhi hali ni hiyohiyo...karibuni mitaa ya huku
 
mapambo ya mjini kaka na ww anza tizi

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Google kama ulikuwa kwenye akili yangu yaani hapa kuanzia kesho sifiki bunju mapema...natembea na track suit napaki katolori kangu Juliana au Budget bar na mimi naanza tizi....kuna watoto wakali huku kinoma halafu wanavaa kimitego sana, juzi kati nikamuona yule mdogo wa vanessa mdde huku Kunduchi nae kapiga vitu vya namna hii dah! Mkali sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanavaa hivyo kupunguza jotolidi la Nyapu wakati wa mazoezi nyapu hupandisha joto kama la injini ya gari.
 
Kama hao tu wanakusumbua hivyo ukipita ambiance si utagoma kabisa kuondoa gari
Madanga yale ya ambianz hayana mzuka man...we njoo huku Mbezi beach chini jitege tu pale Hangover utaona watoto wakali kinyama wanafanya evening walk kama familia ya Obama....wameumuka nyumambele kinyama full mzuka yaan

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom