Wadada mnaotokea Muleba na Karagwe mnakuja kutafuta maisha Dar hebu badilikeni

Kifaru86

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2017
Posts
1,733
Reaction score
3,833
Kiukweli katika maisha yangu sijawahi kufika karagwe na muleba lakini pia bado sijafahamu mazingira yako vipi lakini nadhani wenyeji wangu mtanisaidia.....

Kuna utafiti nimeufanya kuhusu hawa dada zetu wanaotokea wilaya ya karagwe na muleba mkoani kagera wanaokuja kutafuta maisha mjini dar es salaam japo sio wote wako hivi ila asilimia kubwa wako hivyoo na hapa nazungumzia hii tabia ya kibiashara kukaaa na vistuli njee ya chumba maeneo ya vichochoroni anachoishi au anachokaa huku mlango kuingilia ndani upo waziii......

Katika utafiti nilioufanya wadada wengi ambao wapo pale mwananyamala hospitali,buguruni sokoni,temeke hodpitali, kigamboni,manzese darajani,uwanja fisi, mbagala kwa masakuu, ukiwauliza wapi mnatokea wanakwambia wengi wao ni muleba na karagwe ifike hatua dada zetu mmbadilike muachane na hayo mambo naishia hapo kwanza hiii biashara haiko powa tafuteni biashara nyingine mbona flesh tuu
 
75% ya wilaya ya muleba ni visiwa, wilaya ya muleba inawakazi 750,000 zaidi ya population nzima ni wasichana na wanawake kutokana na kuwa na visiwa vingi 60% ya watu wote wanaoishi visiwani ni makabila tofauti tofauti na wala sio wahaya hao unao waona uko wanakwambia wametoka muleba wametokea visiwani baada ya oparasheni uvuvi alamu, shughuli ya uvuvi imekuwa ngumu na wadada Wamekimbi visiwani wamekimbilia mjini si braza kuwa makini nao sana watakwambia ni wahaya ila utakuta ni wakerewe, wasukuma, wajita, wakurya na makabila mengine.

Kuhusu wanyambo wakaragwe ilo sinawakika nalo lakini yote kwa yote don't rush to conclusion, fanya reaserch yako vizuri alafu ulete mlejesho.
 
Tena mleta mada nikufahamishe kwa upande wa muleba nchi kavu kuanzia kata tarafa kimwani, nshamba, kamachumu, uzito, na muleba watoto wakike asilimia 65 niwasomi wa viwangi vizuri na wenye kazi zao wazazi wa muleba wanazingatia sana elimu kwa watoto wao. Na tabia ya wahaya ziwa lipo kwao ila kwakuwa ni waoga wakazi ngumungumu wala sio wavuvi badala yake shughuli za uvuvi na umalaya uko visiwani kwa asilimia 85 kuanzia visiwa vya mbumbire,goziba, mazinga, kerebe na ikuza zinafanywa na makabira mengine kabisa.

Nikupe mfano mwingine ukipita chuo cha CBE pale dodoma ukakuta wadada wanajiuza kipindi cha bunge unaweza sema wanafunzi wa chuo ndo wanajiuza kumbe watu wametoka zao dar na arusha.
 
75% ya wilaya ya muleba ni visiwa, wilaya ya muleba inawakazi 750,000 zaidi ya population nzima ni wasichana na wanawake kutokana na kuwa na visiwa vingi 60% ya watu wote wanaoishi visiwani ni makabila tofauti tofauti na wala sio wahaya hao unao waona uko wanakwambia wametoka muleba wametokea visiwani baada ya oparasheni uvuvi alamu, shughuli ya uvuvi imekuwa ngumu na wadada Wamekimbi visiwani wamekimbilia mjini si braza kuwa makini nao sana watakwambia ni wahaya ila utakuta ni wakerewe, wasukuma, wajita, wakurya na makabila mengine.

Kuhusu wanyambo wakaragwe ilo sinawakika nalo lakini yote kwa yote don't rush to conclusion, fanya reaserch yako vizuri alafu ulete mlejesho.
Acha uongo wewe utachapwa!!! So kweli kwamba zaidi ya 75% ya Wilaya ya Muleba ni visiwa, shame upon you. Visiwa ni chini ya 25% ya eneo jumla la Wilaya hiyo ambayo ni kubwa sana.
 
Mkuu jamaa katupiga kamba bila hofu kabsa
 
Unakataa nini sasa..?!

Mambo ya uvuvi haramu si ya juzijuzi tu hapa...

Wahaya hapa Dar wako kwenye hiyo biashara kitambo sana kabla hata Nyerere hajang'atuka Urais kumuachia Mzee Mwinyi!
 
Acha uongo wewe utachapwa!!! So kweli kwamba zaidi ya 75% ya Wilaya ya Muleba ni visiwa, shame upon you. Visiwa ni chini ya 25% ya eneo jumla la Wilaya hiyo ambayo ni kubwa sana.
Ingia goole braza ata kama nimekosea ila sehemu kubwa ya muleba ni maji ukianzia mwalo wa kyamkwikwi tena kwa kutumia faiba kwenda goziba ni masaa nane, wakati ukipanda basi
Acha uongo wewe utachapwa!!! So kweli kwamba zaidi ya 75% ya Wilaya ya Muleba ni visiwa, shame upon you. Visiwa ni chini ya 25% ya eneo jumla la Wilaya hiyo ambayo ni kubwa sana.
Nafikili huijui muleba wewe kwa taarifa yako mtendaji anaye fanya kazi kisiwa goziba ni bora apitie sengerema apande basi kwenda muleba kuliko kutokea goziba kuja moja kwa moja muleba kupitia njia ya maji. Yani ukiwa goziba uganda na ukerewe nikaribu kuliko muleba ukibisha na hapo mwulize mzira nkende atakupa ukweli.
 
Back
Top Bottom