chanaga
JF-Expert Member
- Jan 30, 2013
- 344
- 190
Kwa hiyo hawa hawamwagi majii75% ya wilaya ya muleba ni visiwa, wilaya ya muleba inawakazi 750,000 zaidi ya population nzima ni wasichana na wanawake kutokana na kuwa na visiwa vingi 60% ya watu wote wanaoishi visiwani ni makabila tofauti tofauti na wala sio wahaya hao unao waona uko wanakwambia wametoka muleba wametokea visiwani baada ya oparasheni uvuvi alamu, shughuli ya uvuvi imekuwa ngumu na wadada Wamekimbi visiwani wamekimbilia mjini si braza kuwa makini nao sana watakwambia ni wahaya ila utakuta ni wakerewe, wasukuma, wajita, wakurya na makabila mengine.
Kuhusu wanyambo wakaragwe ilo sinawakika nalo lakini yote kwa yote don't rush to conclusion, fanya reaserch yako vizuri alafu ulete mlejesho.