Mtu hawezi Jiuza, alafu asiwe malaya, ila ni kweli mtu, anaweza asijiuze, na akawa malaya, hapo ndipo unapotakiwa kujua neno malaya nini maana yake.All in all sio kila malaya anajiuza na sio kila anaejiuza ni malaya. That's it!
Mm najua wote ni wahaya sababu wanaongea kihaya, sijawahi kupita hayo maeneo nikakuta watu wanaongea 'kamweenee, au ughoniile au shimboni' huwa naskia 'waakola waittuu' katika mazingira hayo utasema kuna kabila gani hapo?
Kwani mtu akijiuza kwa mwanaume mmoja tu anakuwa hajajiuza?? Kujiuza sio lazima iwe ni kwa wanaume wengi. Ndo maana nimekwambia karibia wanawake wote wanajiuza, ila wanatofautiana approach, dau na style.Mtu hawezi Jiuza, alafu asiwe malaya, ila ni kweli mtu, anaweza asijiuze, na akawa malaya, hapo ndipo unapotakiwa kujua neno malaya nini maana yake.
Sawa, unadhani akifanya hivyo ndiyo hatakua malaya, nae atakua malaya tu, au wewe unadhani neno malaya nimeanzisha mimi, mpaka liwe na mpaka.Kwani mtu akijiuza kwa mwanaume mmoja tu anakuwa hajajiuza?? Kujiuza sio lazima iwe ni kwa wanaume wengi. Ndo maana nimekwambia karibia wanawake wote wanajiuza, ila wanatofautiana approach, dau na style.
Hata huyo dem wako ukiangalia vizuri unaweza kukuta anajiuza kwako. Ukitaka kunielewa subiri hela ikuishie/ufirisike
Ila ishara ya kutambua, mji, Unawaislam, au Wakristo ni Misikiti na Makanisa.Acha ujinga, so kila anayeongea kihaya ni mhaya?
Kinyesi hakisafishwi,hata umimine ndoo ngapi kwenye kinyesi harufu ipo palepale.Wahaya wanafahamika kwa ile biashara haramu hata ujitetee vipi unahangaika bure75% ya wilaya ya muleba ni visiwa, wilaya ya muleba inawakazi 750,000 zaidi ya population nzima ni wasichana na wanawake kutokana na kuwa na visiwa vingi 60% ya watu wote wanaoishi visiwani ni makabila tofauti tofauti na wala sio wahaya hao unao waona uko wanakwambia wametoka muleba wametokea visiwani baada ya oparasheni uvuvi alamu, shughuli ya uvuvi imekuwa ngumu na wadada Wamekimbi visiwani wamekimbilia mjini si braza kuwa makini nao sana watakwambia ni wahaya ila utakuta ni wakerewe, wasukuma, wajita, wakurya na makabila mengine.
Kuhusu wanyambo wakaragwe ilo sinawakika nalo lakini yote kwa yote don't rush to conclusion, fanya reaserch yako vizuri alafu ulete mlejesho.
Umeona kuna tusi gani hapo? nioneshe acha jazba!Acha matusi, Mbona mnashambulia, Watu wa Kusini mbagara na mikoa ya Pwani, hamtupiwi matusi, jibu kwa hoja.
Uko sahihi mkuu; mleta mada ana mawazo mgando.Mmmhh! Hiyo sio kwa Muleba sasa ni kwa Dar. Hayo mambo huku hayapo, wanayafanya wakishakuja huko Dar.
Na pia niwajuze kuwa % kubwa ya wahaya wanaojiuza Dar wanatokea visiwani kwenye jamii za wavuvi. Ila kwa kuwa wikaya ni ile ile Muleba na lugha ni ile ile Kihaya basi mtu asiyeelewa maeneo yenyewe anachukulia ametoka Muleba tu.
Wahaya wa Muleba ambao wapo nchi kavu % kubwa utamaduni wao (tabia) ni kama wahaya wengine wa wilaya zingine kama Misenyi na Bukoba kwa maana ya usomi, maendeleo, n.k.
Ila kiujumla hata wahaya wenyewe wanaogopana. Mfano wahaya wa Kiziba (wilaya Misenyi) na maeneo mengine wanaogoap kuoa wanawake wa Muleba kwa madai hawajatulia. Hii ni kama kwa makabila mengine tu kama tunavyoona wachaga wa Rombo, Machame, n.k wanavyoogopana katika kuoana.
Kwa akina dada wa Karagwe kwa kweli naweza kusema nadhani wanasingiziwa ama hao wanawake wenyewe wanaojiuza wanadanganya kujiita wa Karagwe. Wanyambo hawana utamaduni wa tabia hizo za ajabu. Ni wanawake waliotulia, wachapa kazi na wana heshima sana.
Tofaut na hapo mhaya yeyote wa sehem yeyote anaweza kujiuza tu kama ambavyo makabila mengine wanajiuza pia.
N.B: Kujiuza na umalaya ni vitu viwili tofauti. Akina dada wa mikoa ya katikati Singida, Dodoma na wale wa mikoa ya pwani wanaongoza kwa umalaya japo hawajiuzi sana.
Kwenye ile biashara ya Ngono...wahaya ndio wengi zaidiKinyesi hakisafishwi,hata umimine ndoo ngapi kwenye kinyesi harufu ipo palepale.Wahaya wanafahamika kwa ile biashara haramu hata ujitetee vipi unahangaika bure
Tusi llpo pale kwa jamii nyingine, labda kwa mila zenu.Umeona kuna tusi gani hapo? nioneshe acha jazba!
Siyo ujinga, mojawapo ya kigezo cha mtu kuwa kabila fulani ni lugha, na wale Malaya wamekidhi hicho kigezo. Leta fact ya kutuaminisha kuwa wale siyo wahaya. By the way, kama siyo wahaya kwa nn wamejifunza kihaya? Kihaya ni lugha rasmi ya Malaya? Kwa mini wasijifunze kiluguru? Naomba majibu ya haya maswali siyo unatoa majibu rahis rahisi kwa maswali magumuAcha ujinga, so kila anayeongea kihaya ni mhaya?
Ila ishara ya kutambua, mji, Unawaislam, au Wakristo ni Misikiti na Makanisa.
Na ukisikia Lugha inaongelwa sana eneo hilo, jua wenye Lugha hiyo wapo hapo.
Haiwezekani mji wa Wahehe usikie watu wanaongea Kihaya tu.
Ameandika Kiswa -Kinge, inaruhusiwa kwa mijadala km hiiUna uhakika, anajua Kiingeraza, au kiswahili uweze, maana mada, ameika kwa kiswahili, wewe unamuandikia kwa kiingereza.
Bora kuuuza k?au bora kuuza tako kama baadhi ya wanaume wa Dar?Hahahahahahaha!
Hawa wote wanauza tako, ni wanaume wa mikoani hawa. Shida hunza pale mwanamme wa mkoani anapotaka kuonekana, nae wa mjini.Bora kuuuza k?au bora kuuza tako kama baadhi ya wanaume wa Dar?
Nafkl ata gigy money atakuwa anatokea mbunda au kishanda.