Wadada mnaotokea Muleba na Karagwe mnakuja kutafuta maisha Dar hebu badilikeni

oparasheni uvuvi alamu, shughuli ya uvuvi imekuwa ngumu na wadada Wamekimbi visiwani wamekimbilia mjini si braza

Imedhihirika bila shaka nawe ni miongoni mwa watokao visiwani
 
Mm najua wote ni wahaya sababu wanaongea kihaya, sijawahi kupita hayo maeneo nikakuta watu wanaongea 'kamweenee, au ughoniile au shimboni' huwa naskia 'waakola waittuu' katika mazingira hayo utasema kuna kabila gani hapo?

Kwa jinsi alivyo mbishi atasema kabila la Chat + 0
 
Umesahau na Bukoba vijijini, wako wengi tu hapa Dar wanakalia vistuli huku wakimenya ndizi na kuandaa mchwa wamevaa kanga moko bila hata nguo ya ndani. Wahaya na Wanyambo ni wazembe sana kutafuta kazi, wao wanaona kujiuza ndiyo biashara nzuri zaidi maishani wakati they don't enjoy kufanya ngono. Unyamboni (Karagwe) mtu analala hata na shangazi ama Mama yake mdogo na hawana miiko, utasikia tu yule demu ni shangazi yangu ila anakula naye denda. Shangazi = dada ama ndugu wa baba mzazi.
Kiongozi katika hayo maeneo hakuna wadada wanaotokea bukoba vijijini, bukoba mjini,kyaka,kiziba,misenyi na wilaya zingine huwezi kuwakuta katika eneo hilo wanafanya hiyo biashara .

Lakini eneo ni moja tuu muleba ambalo wanatoka hawa wadada ndo maana tunajaribu kujua kuhusu hilo eneo kunani
 
Mmmhh! Hiyo sio kwa Muleba sasa ni kwa Dar. Hayo mambo huku hayapo, wanayafanya wakishakuja huko Dar.

Na pia niwajuze kuwa % kubwa ya wahaya wanaojiuza Dar wanatokea visiwani kwenye jamii za wavuvi. Ila kwa kuwa wikaya ni ile ile Muleba na lugha ni ile ile Kihaya basi mtu asiyeelewa maeneo yenyewe anachukulia ametoka Muleba tu.

Wahaya wa Muleba ambao wapo nchi kavu % kubwa utamaduni wao (tabia) ni kama wahaya wengine wa wilaya zingine kama Misenyi na Bukoba kwa maana ya usomi, maendeleo, n.k.

Ila kiujumla hata wahaya wenyewe wanaogopana. Mfano wahaya wa Kiziba (wilaya Misenyi) na maeneo mengine wanaogoap kuoa wanawake wa Muleba kwa madai hawajatulia. Hii ni kama kwa makabila mengine tu kama tunavyoona wachaga wa Rombo, Machame, n.k wanavyoogopana katika kuoana.

Kwa akina dada wa Karagwe kwa kweli naweza kusema nadhani wanasingiziwa ama hao wanawake wenyewe wanaojiuza wanadanganya kujiita wa Karagwe. Wanyambo hawana utamaduni wa tabia hizo za ajabu. Ni wanawake waliotulia, wachapa kazi na wana heshima sana.

Tofaut na hapo mhaya yeyote wa sehem yeyote anaweza kujiuza tu kama ambavyo makabila mengine wanajiuza pia.

N.B: Kujiuza na umalaya ni vitu viwili tofauti. Akina dada wa mikoa ya katikati Singida, Dodoma na wale wa mikoa ya pwani wanaongoza kwa umalaya japo hawajiuzi sana.
Ok kiongozi umetambaa vizuli mnoo sasa nimeshaelewa
 
Umesahau na Bukoba vijijini, wako wengi tu hapa Dar wanakalia vistuli huku wakimenya ndizi na kuandaa mchwa wamevaa kanga moko bila hata nguo ya ndani. Wahaya na Wanyambo ni wazembe sana kutafuta kazi, wao wanaona kujiuza ndiyo biashara nzuri zaidi maishani wakati they don't enjoy kufanya ngono. Unyamboni (Karagwe) mtu analala hata na shangazi ama Mama yake mdogo na hawana miiko, utasikia tu yule demu ni shangazi yangu ila anakula naye denda. Shangazi = dada ama ndugu wa baba mzazi.
Mimi nipo Karagwe mbona sioni hayo mambo
 
Mmmhh! Hiyo sio kwa Muleba sasa ni kwa Dar. Hayo mambo huku hayapo, wanayafanya wakishakuja huko Dar.

Na pia niwajuze kuwa % kubwa ya wahaya wanaojiuza Dar wanatokea visiwani kwenye jamii za wavuvi. Ila kwa kuwa wikaya ni ile ile Muleba na lugha ni ile ile Kihaya basi mtu asiyeelewa maeneo yenyewe anachukulia ametoka Muleba tu.

Wahaya wa Muleba ambao wapo nchi kavu % kubwa utamaduni wao (tabia) ni kama wahaya wengine wa wilaya zingine kama Misenyi na Bukoba kwa maana ya usomi, maendeleo, n.k.

Ila kiujumla hata wahaya wenyewe wanaogopana. Mfano wahaya wa Kiziba (wilaya Misenyi) na maeneo mengine wanaogoap kuoa wanawake wa Muleba kwa madai hawajatulia. Hii ni kama kwa makabila mengine tu kama tunavyoona wachaga wa Rombo, Machame, n.k wanavyoogopana katika kuoana.

Kwa akina dada wa Karagwe kwa kweli naweza kusema nadhani wanasingiziwa ama hao wanawake wenyewe wanaojiuza wanadanganya kujiita wa Karagwe. Wanyambo hawana utamaduni wa tabia hizo za ajabu. Ni wanawake waliotulia, wachapa kazi na wana heshima sana.

Tofaut na hapo mhaya yeyote wa sehem yeyote anaweza kujiuza tu kama ambavyo makabila mengine wanajiuza pia.

N.B: Kujiuza na umalaya ni vitu viwili tofauti. Akina dada wa mikoa ya katikati Singida, Dodoma na wale wa mikoa ya pwani wanaongoza kwa umalaya japo hawajiuzi sana.
Ila mkuu, Umalaya, huwezi kuutenganisha na kujiuza, Malaya ni mtu anafanya mapenzi pasi, kubagua.

Hivyo kila anaejiuza, ni malaya pia, haiwezekani mtu ajiuze alafu asiwe malaya.
Ama hujui kwanini sababu ya funguo malaya kuitwa hivyo.

Ila umeangushia mzigo, kwa mikoa pwani eti ni malaya. Hebu nitajie alakua mkoa mmoja tu wa Tanzania, ambako mwanamme, akienda akakaa siku mbili tu, mwanamme akikusudia kufanya yake hapati mtu.
 
Write your reply...mtoa mada jibu maswali yafuatayo
1.je wewe ni miongoni mwa wateja wanaonunua wanawake malaya?au ni researcher?

2.Kama ni researcher what is the significance of ur study?
3.What is your confidence level toward this study?
4.Why umechoose sample ya wahaya na wanyambo what factors leads u to choose.
 
Una uhakika, anajua Kiingeraza, au kiswahili uweze, maana mada, ameika kwa kiswahili, wewe unamuandikia kwa kiingereza.
 
Nisamehe.sijajaliwa kuwa mjuaji na mjasiri wa kwenye mitandao kama wewe.
Punguza jaziba mkuu, haya unayoandika yametoka wapi, nimekuuliza vile kwa sababu, Comet ya mwisho ilikua ya kwangu, ndipo nikakuuliza unamjibu nani.

Haya mjasiri kwenye mitandao inatoka wapi.
 
75% ya wilaya ya muleba ni visiwa, wilaya ya muleba inawakazi 750,000 zaidi ya population nzima ni wasichana na wanawake kutokana na kuwa na visiwa vingi 60% ya watu wote wanaoishi visiwani ni makabila tofauti tofauti na wala sio wahaya hao unao waona uko wanakwambia wametoka muleba wametokea visiwani baada ya oparasheni uvuvi alamu, shughuli ya uvuvi imekuwa ngumu na wadada Wamekimbi visiwani wamekimbilia mjini si braza kuwa makini nao sana watakwambia ni wahaya ila utakuta ni wakerewe, wasukuma, wajita, wakurya na makabila mengine.

Kuhusu wanyambo wakaragwe ilo sinawakika nalo lakini yote kwa yote don't rush to conclusion, fanya reaserch yako vizuri alafu ulete mlejesho.
Hapo kwelye list futa wakurya, wanawake na dada zetu hawana hizo tabia kabisa. Yaani mkuu ni unachotakiwa kufanya ni maneno mawili tu FU TA
 
Ila mkuu, Umalaya, huwezi kuutenganisha na kujiuza, Malaya ni mtu anafanya mapenzi pasi, kubagua.

Hivyo kila anaejiuza, ni malaya pia, haiwezekani mtu ajiuze alafu asiwe malaya.
Ama hujui kwanini sababu ya funguo malaya kuitwa hivyo.

Ila umeangushia mzigo, kwa mikoa pwani eti ni malaya. Hebu nitajie alakua mkoa mmoja tu wa Tanzania, ambako mwanamme, akienda akakaa siku mbili tu, mwanamme akikusudia kufanya yake hapati mtu.
Kuna wakati inabidi tujifunze kukubali ukweli hata kama unatugusa mkuu. Wanawake 99% (kama sio wote) wanajiuza. Sema wanatofautiana dau ,mbinu na jinsi ya kujiuza. Mwanamke aliye ndani ya ndoa na bado anadanga kwa bwana au mabwana wenye hela zaidi ya mumewe anajiuza. Akina dada zetu karibia wote na shangazi na mama wadogo zetu wote wanajiuza sema hawajipangi kibarazani!

Mtu anaweza kujiuza kwa watu watatu tu mwaka mzima we ukachukulia kwamba ame date nao tu. Kumbe alikuwa anatumia tumbua lake kupata hela. Huko ni kujiuza. Maana ya kuuza ni kupokea hela kwa mabadilishano ya kitu fulani!

Na umalaya ni kulala na wanaume wengi tu haijalishi iwe ni kwa pesa au kwa sababu yoyote ile! Kwa upande mwingine (tunaowaza critically) ni bora ukawa malaya kwa kujiuza, kuliko kuwa malaya wa kujitolea. Maana wa kujiuza anafanya biashara ila huyu mwingine aidha ni utamaduni wake, tabia yake au starehe yake.
Nadhani tunaelewana sasa
 
Labda Tungetafuta, kujua maana ya neno, Malaya kwanza, kwanza alafu tuendelee.
Maana mimi siwezi mtoa mwanamke anetembea, na wanaume watatu kwa mwaka, kwenye List ya umalaya.

Hata mwanamke awe na shida, asie malaya hakimbilii, kutatua shida zake kwa kujiuza, mbona asishike jembe kuomba kulima, apewe pesa.
Ama wadada wa mjini wasiombe hata kazi kufua nguo majumbani walipwe pesa.
 
Kwa maana hiyo wewe unatwambia wanawake wote ni malaya!

Hata akitembea na mwanaume mmoja tu ili apate hela anajiuza huyo mkuu. Anaweza aisiwe malaya ila akajiuza. Na anaweza kuwa malaya asiejiuza. Yote haya yapo
 
Sijasema wanawake wote Malaya, kuna sehemu, iliitaja funguo malaya, kwanini, inaitwa vile.

Umalaya hata wanaume nao huitwa malaya, ingawa hauvumi, malaya ni kitendo cha, cha kubadilisha wanaume, au wanawake nje ya taratibu za ndoa.
 
Back
Top Bottom