Nafkl ata gigy money atakuwa anatokea mbunda au kishanda.Amba Luti na Wema ni asili yao ni Muleba kyamyolwa Omulunazi sio?
Hahahahahahaha!Nafkl ata gigy money atakuwa anatokea mbunda au kishanda.
Acha uongo wewe utachapwa!!! So kweli kwamba zaidi ya 75% ya Wilaya ya Muleba ni visiwa, shame upon you. Visiwa ni chini ya 25% ya eneo jumla la Wilaya hiyo ambayo ni kubwa sana.75% ya wilaya ya muleba ni visiwa, wilaya ya muleba inawakazi 750,000 zaidi ya population nzima ni wasichana na wanawake kutokana na kuwa na visiwa vingi 60% ya watu wote wanaoishi visiwani ni makabila tofauti tofauti na wala sio wahaya hao unao waona uko wanakwambia wametoka muleba wametokea visiwani baada ya oparasheni uvuvi alamu, shughuli ya uvuvi imekuwa ngumu na wadada Wamekimbi visiwani wamekimbilia mjini si braza kuwa makini nao sana watakwambia ni wahaya ila utakuta ni wakerewe, wasukuma, wajita, wakurya na makabila mengine.
Kuhusu wanyambo wakaragwe ilo sinawakika nalo lakini yote kwa yote don't rush to conclusion, fanya reaserch yako vizuri alafu ulete mlejesho.
Mkuu jamaa katupiga kamba bila hofu kabsaAcha uongo wewe utachapwa!!! So kweli kwamba zaidi ya 75% ya Wilaya ya Muleba ni visiwa, shame upon you. Visiwa ni chini ya 25% ya eneo jumla la Wilaya hiyo ambayo ni kubwa sana.
Unakataa nini sasa..?!75% ya wilaya ya muleba ni visiwa, wilaya ya muleba inawakazi 750,000 zaidi ya population nzima ni wasichana na wanawake kutokana na kuwa na visiwa vingi 60% ya watu wote wanaoishi visiwani ni makabila tofauti tofauti na wala sio wahaya hao unao waona uko wanakwambia wametoka muleba wametokea visiwani baada ya oparasheni uvuvi alamu, shughuli ya uvuvi imekuwa ngumu na wadada Wamekimbi visiwani wamekimbilia mjini si braza kuwa makini nao sana watakwambia ni wahaya ila utakuta ni wakerewe, wasukuma, wajita, wakurya na makabila mengine.
Kuhusu wanyambo wakaragwe ilo sinawakika nalo lakini yote kwa yote don't rush to conclusion, fanya reaserch yako vizuri alafu ulete mlejesho.
Ingia goole braza ata kama nimekosea ila sehemu kubwa ya muleba ni maji ukianzia mwalo wa kyamkwikwi tena kwa kutumia faiba kwenda goziba ni masaa nane, wakati ukipanda basiAcha uongo wewe utachapwa!!! So kweli kwamba zaidi ya 75% ya Wilaya ya Muleba ni visiwa, shame upon you. Visiwa ni chini ya 25% ya eneo jumla la Wilaya hiyo ambayo ni kubwa sana.
Nafikili huijui muleba wewe kwa taarifa yako mtendaji anaye fanya kazi kisiwa goziba ni bora apitie sengerema apande basi kwenda muleba kuliko kutokea goziba kuja moja kwa moja muleba kupitia njia ya maji. Yani ukiwa goziba uganda na ukerewe nikaribu kuliko muleba ukibisha na hapo mwulize mzira nkende atakupa ukweli.Acha uongo wewe utachapwa!!! So kweli kwamba zaidi ya 75% ya Wilaya ya Muleba ni visiwa, shame upon you. Visiwa ni chini ya 25% ya eneo jumla la Wilaya hiyo ambayo ni kubwa sana.
Kunywa soda mkuu! Hajui kuwa umalaya ni tabia tu ya mtu na wala haihusiani na mtu anakotoka! Mtoa mada fala kabisa! Huku usukumani watu wa hivyo tunawaita MBURULAAmba Luti na Wema ni asili yao ni Muleba kyamyolwa Omulunazi sio?