Wadada mnapenda kununua nini ambacho mkiwa nacho mnajisikia furaha?

Wadada mnapenda kununua nini ambacho mkiwa nacho mnajisikia furaha?

Idea yako nzuri sana tena sana mwamba
Brother nakupa ushauri usimpe chochote maana ni wepesi kusahau.ila muoneshe akili yako kwa kufanya vitu vya maana.mfano kuwa na geto kali na safi,usafir mzuri,nunua kiwanja na mtoe out siku moja moja.sio unakaa kwa wazaz halafu unawaza nimpe zawadi atakutana na wenye nazo utalia.
 
Wengi mnadanganya.. Wengine mnabebaga viporo kwenye pochi.
Hahaha nimecheka kinoma

kuna sister duu mmoja kweny harakati za kugombea daladala handbag ikakatika chini pwaaa... kila kitu kikatoka uporo wa wali ukiwa kwenye vile vifuko vya plastic na maharage na mpaka aliona nishai akaghairi kupanda basi lenyewe walivyomshupalia watoto wa mjini.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
kuna siku wakati natoka Zanzibar kuja dar, wakati wa kushuka Boat kwa bahati mbaya nilim push msichana wa watu pochi ya mkononi ikadondoka na kumwaga vitu vyote..... aisee!! aibu yaani niliona makorokocho ya ajabu sana, kwanza huyu dada anatumia pamba badala ya leso kujifuta tena ile pamba ya medical kabisa, rangi ya kucha cheap kabisa na kichupa kipo almost empty, lipstick cheap nayo imeisha kabisaa na makorokocho mengine, aisee nilitamani kulia. Nilichofanya nilimuomba radhi sana tumetoka pale hadi kariakoo nikamfanyia ka shopping ka 30,000 kisha tukaagana, tulivo achana sikuweza kujizuia machozi yalinitoka kwakweli. Maana kwa wadada walioona yale makorokocho walicheka na kutoa kejeli nyingi

Mkuu ulidhani hiyo pamba ni yakujifutia tu?, ila Zenji kuna mambo mengi huko
 
Back
Top Bottom