Tatizo la hawa viumbe hawaridhiki hata umfanyie nin, we umejinyima wee yeye anaona ni kawaida tu. Dawa pekee mpe hela kidogo tu itakayoisha leo au kesho ili awe anakumbuka saa itakapoisha, mfanye siku zote kuwa muhitaji kuliko wewe. Hapo atatambua thamani yako.... Lakini ukijifanya mbabe unamnunulia ploti, gari, paaaap!! Kesho keshakusahau anasaka mwingine amfanyie kitu.
Wanawake hubadili mawazo haraka sana anachokifanya ni kile kilichoko mbele yake kwa mda huu bila kujali humgarim kwa vp baadae, na wanaangalia manufaa ya leo tu na si kesho