Wadada mnapenda kununua nini ambacho mkiwa nacho mnajisikia furaha?

Wadada mnapenda kununua nini ambacho mkiwa nacho mnajisikia furaha?

Akili gani,kwani kuna mitihani tunafanya humu?[emoji32][emoji32][emoji32].......Mtu kuongea ukweli ndo kuwa na akili??[emoji57][emoji57][emoji57]

Mbona uko bitter leo? Hujawahi kutoa zawadi hadi unaamua kwenda na 'ukweli' hahaa. Mshkaji alinipa zawadi... appreciated. Ni zawadi gani tena alinipa?

Thats said... I'm out.
 
kuna siku wakati natoka Zanzibar kuja dar, wakati wa kushuka Boat kwa bahati mbaya nilim push msichana wa watu pochi ya mkononi ikadondoka na kumwaga vitu vyote..... aisee!! aibu yaani niliona makorokocho ya ajabu sana, kwanza huyu dada anatumia pamba badala ya leso kujifuta tena ile pamba ya medical kabisa, rangi ya kucha cheap kabisa na kichupa kipo almost empty, lipstick cheap nayo imeisha kabisaa na makorokocho mengine, aisee nilitamani kulia. Nilichofanya nilimuomba radhi sana tumetoka pale hadi kariakoo nikamfanyia ka shopping ka 30,000 kisha tukaagana, tulivo achana sikuweza kujizuia machozi yalinitoka kwakweli. Maana kwa wadada walioona yale makorokocho walicheka na kutoa kejeli nyingi
 
Km unaplan ya kumnunulia k2 mchumba wako jiaandae na big disappointment, furaha ya wanawake wengi ni ya mda mfupi baadae anasahau na tena hicho k2 ulichomnunulia km ni handbag siku atakwambia hujawahi kuninunulia hata handbag!
Siplan kwa ajili ya mchumba. Asante.
 
Back
Top Bottom