Wadada mnapenda kununua nini ambacho mkiwa nacho mnajisikia furaha?

Idea yako nzuri sana tena sana mwamba
 
Wengi mnadanganya.. Wengine mnabebaga viporo kwenye pochi.
Hahaha nimecheka kinoma

kuna sister duu mmoja kweny harakati za kugombea daladala handbag ikakatika chini pwaaa... kila kitu kikatoka uporo wa wali ukiwa kwenye vile vifuko vya plastic na maharage na mpaka aliona nishai akaghairi kupanda basi lenyewe walivyomshupalia watoto wa mjini.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 

Mkuu ulidhani hiyo pamba ni yakujifutia tu?, ila Zenji kuna mambo mengi huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…