Jibu zuriTunachukua hisa zetu kwenye vikoba na kuanza biashara.
Mnatuchuna tu[emoji23] [emoji23]We aliekwambia wadada wanafulia ni nani?hua hatufulii mkuu mana pesa zetu hatutumii[emoji23][emoji23]
Ukiwa mwanaume wewe ni provider kwahiyo hyo ni part ya majukumu yenu[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mnatuchuna tu[emoji23] [emoji23]
Tuoneeni huruma bathiiiUkiwa mwanaume wewe ni provider kwahiyo hyo ni part ya majukumu yenu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mwanaume kulalamika ni mwiko[emoji125] [emoji125]Tuoneeni huruma bathiii
Shida na mateso kaumbiwa mtoto wa kiume.Mwanaume kulalamika ni mwiko[emoji125] [emoji125]
Daah we acha tu, now imebaki historia. ile ndo ilikuwa Milan yenyewefey hiyo avatar nimekumbuka mbali pale ITALY
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wanapofulia wanatumiaga sabuni