Wadada mnapofulia huwa mnatumia mbinu Gani?

Wadada mnapofulia huwa mnatumia mbinu Gani?

Wewe mdada mrembo ulikuwa na Ishu zako za maana tu,au ulikuwa na ajira yako ya maana tu Ingawa siku hizi mara chache sana kukuta mdada amefulia sijui kwa sababu ile elimu ya Ujasiriamali imeeleweka sana kwenu! Sasa je ikitokea mambo yameenda kombo, Wenzetu huwa mnatumia mbinu gani kurudi kwenye Mstari.
nenda badoo kisha utakuta profile pics ziko private mpaka akupe ruhusa kutizama, ukiclick kutuma ombi utasikia tuma pesa elf 10, hizo ni picha zangu za uchi huwezi ona hivi hivi, halafu cha ajabu kama wanaambizana, ukigusa anakwambia tuma pesa ndio nikufungulie
 
Mwenzio.akikaa akituma meseji moja kwa wanaume watano.hakosi 50,000.na ahadi juu.mwanamke sio mwenzako.
Ndo maana wazazi walikuwa wanatupigania watoto wa kiume tusome.hao wataolewa.
Wazee Wa Zamani Bwana Waliona Mbali Sana!
 
Thanks Smart911 wangu ananisoma vizuri ananielewa mnooooooooo hata sinyanyui mdogo anajua anachokifanya as a responsible man of mine.. [emoji131][emoji131][emoji171]
mahondaw wangu.. Uwe nazo au usiweze nazo... You are always my responsibility... Ukiteleza nitakushikilia, ukianguka nitakuokota...
 
Wewe mdada mrembo ulikuwa na Ishu zako za maana tu,au ulikuwa na ajira yako ya maana tu Ingawa siku hizi mara chache sana kukuta mdada amefulia sijui kwa sababu ile elimu ya Ujasiriamali imeeleweka sana kwenu! Sasa je ikitokea mambo yameenda kombo, Wenzetu huwa mnatumia mbinu gani kurudi kwenye Mstari.
Kuvaa kimini. Wallahi hutalala bila bila!
 
Unatumia akiba uliyo jiwekea kufanyia biashara
 
Back
Top Bottom