nenda badoo kisha utakuta profile pics ziko private mpaka akupe ruhusa kutizama, ukiclick kutuma ombi utasikia tuma pesa elf 10, hizo ni picha zangu za uchi huwezi ona hivi hivi, halafu cha ajabu kama wanaambizana, ukigusa anakwambia tuma pesa ndio nikufungulieWewe mdada mrembo ulikuwa na Ishu zako za maana tu,au ulikuwa na ajira yako ya maana tu Ingawa siku hizi mara chache sana kukuta mdada amefulia sijui kwa sababu ile elimu ya Ujasiriamali imeeleweka sana kwenu! Sasa je ikitokea mambo yameenda kombo, Wenzetu huwa mnatumia mbinu gani kurudi kwenye Mstari.
Wazee Wa Zamani Bwana Waliona Mbali Sana!Mwenzio.akikaa akituma meseji moja kwa wanaume watano.hakosi 50,000.na ahadi juu.mwanamke sio mwenzako.
Ndo maana wazazi walikuwa wanatupigania watoto wa kiume tusome.hao wataolewa.
Kuvaa kimini. Wallahi hutalala bila bila!Wewe mdada mrembo ulikuwa na Ishu zako za maana tu,au ulikuwa na ajira yako ya maana tu Ingawa siku hizi mara chache sana kukuta mdada amefulia sijui kwa sababu ile elimu ya Ujasiriamali imeeleweka sana kwenu! Sasa je ikitokea mambo yameenda kombo, Wenzetu huwa mnatumia mbinu gani kurudi kwenye Mstari.