Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Nimekuwa kwenye mahusiano kwa sampuli mbali mbali, iliyopelekea mpaka wengine kutengeneza familia.
Changamoto niliyokutana nayo, wengi hawataki uchukue muda mrefu ukitafuta goli, wanataka dakika zisizidi 20; hii imepelekea, wao wakirizika wanakuwa hawatoi ushirikiano kwenye kunesa nesa
, na hii upelekea kupoteza hisia na kutofika hitimiso.
Hivi karibuni nilipata goma, mwenye mvuto hatari; tumepiga naye shoo mfululizo kwa siku nne, naye malalamiko yake ni yale yale; nampigia simu aje, anasema anaumwa kiuno, mara analalamika ya kuwa, natumia muda mrefu sana kumaliza.
Sasa wakuu, wadada wanataka tutumie dakika ngapi bila kuwachosha?
Changamoto niliyokutana nayo, wengi hawataki uchukue muda mrefu ukitafuta goli, wanataka dakika zisizidi 20; hii imepelekea, wao wakirizika wanakuwa hawatoi ushirikiano kwenye kunesa nesa
, na hii upelekea kupoteza hisia na kutofika hitimiso.Hivi karibuni nilipata goma, mwenye mvuto hatari; tumepiga naye shoo mfululizo kwa siku nne, naye malalamiko yake ni yale yale; nampigia simu aje, anasema anaumwa kiuno, mara analalamika ya kuwa, natumia muda mrefu sana kumaliza.
Sasa wakuu, wadada wanataka tutumie dakika ngapi bila kuwachosha?