Wadada mnavyowatembelea wapenzi wenu wa kiume, muwe wabunifu

Wadada mnavyowatembelea wapenzi wenu wa kiume, muwe wabunifu

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
33,679
Reaction score
49,841
Ukifika kwa mpenzi wako wa kiume, jitahidi kuwa mbunifu, mfano:-
  • Kutembea kwa mwendo wa maringo
  • Kuzunguka zunguka ndani ya nyumba kwa mwendo wa maringo
  • Kujifanya umedondosha vitu na kuinama kuviokota
  • Kuvaa vazi la kanga na kufanya fanya usafi, kupika, kumtengenezea mpenzi wako juisi n.k
  • Kumzuga mpenzi wako kuna sehemu ya mwili panawasha ili akukune
  • Kuchezea chezea ndevu za mpenzi wako huku ukiwa umeinama
  • Kumgonga kwa makusudi na makalio pale atakapokuwa amekaa au kusimama
  • Kutumia lugha laini, kama leo unataka kwenye mechi wewe uwe mshindi n.k
Kufanya hivyo, kunamfanya mwanaume awe zuzu na awe anakuwaza wewe muda wote.
 
Unaweza kuyafanya yote na bado akakupiga chini akavuta chombo ngumu habari haina. Mwanaume akiamua kukuweka kwenye akili yake basi atafanya kila liwezekalo uwe vile anavyotaka(kama haupo vile atakavyo)
 
Unaweza kuyafanya yote na bado akakupiga chini akavuta chombo ngumu habari haina.

Mwanaume akiamua kukuweka kwenye akili yake basi atafanya kila liwezekalo uwe vile anavyotaka(kama haupo vile atakavyo)
Kuwa naye karibu kunapunguza hizo changamoto
 
Unaweza kuyafanya yote na bado akakupiga chini akavuta chombo ngumu habari haina.

Mwanaume akiamua kukuweka kwenye akili yake basi atafanya kila liwezekalo uwe vile anavyotaka(kama haupo vile atakavyo)
Hakuna mbinu ya kumfanya mtu akupende milele.
Hizo ni ishara za kumpa mwanaume kwamba unataka kubanduliwa,..baada ya hapo unalala mbele.
 
Mkuu umesahau jambo moja mhimu sana,pia wajitahidi kubeba pesa ya nauli ya kuja na kurudi makwao,sio kila unapomtembelea mpenzi wako iwe kama sheria kuwa lazima upewe pesa.

Kifupi punguzeni vizinga ila wanaume tuwape hadhi na kuwapandisha madaraja hadi kufikia ndoa
 
Akifika aache manjonjo yooote hayo uliyoandika anapitiliza kuoga anakuja rum tunamalizana anaendelea na manjonjo ya usafi na mapishi.

Kama anakuja mara kwa mara afuate ushauri wako, ila kama anakuja mara1 kwa wiki2, apitilize chumbani na aache story nyingi[emoji41][emoji41]
 
😂😂😂 ya chumbani mnaweza mkamalizia hata jikoni wakati akifanya hizo mbwembwe
 
Nachotaka kukwambia ni kwamba kama mtoto wa kike, ukipata mwanaume akakupenda jaribu kupendeka na achana na maswala ya kuringa au mapozi zama kwenye mapenzi muwe wehu pamoja.

Wanaume huwa tunatamani tu kupenda hutokea mara chache sana na huwa ni katika umri chini ya miaka 30. Huku juu usitafute hizo swaga utapoteza muda wako tu.
 
Back
Top Bottom