Wadada mnavyowatembelea wapenzi wenu wa kiume, muwe wabunifu

Wadada mnavyowatembelea wapenzi wenu wa kiume, muwe wabunifu

Ukifika kwa mpenzi wako wa kiume, jitahidi kuwa mbunifu,mfano:-
  • Kutembea kwa mwendo wa maringo
  • Kuzunguka zunguka ndani ya nyumba kwa mwendo wa maringo
  • kujifanya umedondosha vitu na kuinama kuviokota
  • Kuvaa vazi la kanga na kufanya fanya usafi, kupika, kumtengenezea mpenzi wako juisi n.k
  • Kumzuga mpenzi wako kuna sehemu ya mwili panawasha ili akukune
  • Kuchezea chezea ndevu za mpenzi wako huku ukiwa umeinama
  • Kumgonga kwa makusudi na makalio pale atakapokuwa amekaa au kusimama
  • Kutumia lugha laini, kama leo unataka kwenye mechi wewe uwe mshindi n.k
Kufanya hivyo, kunamfanya mwanaume awe zuzu na awe anakuwaza wewe muda wote.
Vijana mnajua kudeka sana.Kwa hiyo siku hizi hakuna tena ile kitu inaitwa "chagulaga" kwenye ngoma ya mbina?Au ile ya "rara nikurenge"?
 
Unaweza kuyafanya yote na bado akakupiga chini akavuta chombo ngumu habari haina.

Mwanaume akiamua kukuweka kwenye akili yake basi atafanya kila liwezekalo uwe vile anavyotaka(kama haupo vile atakavyo)
Jambo la muhimu uelewe mmeo anataka nini au anavutiwa na nini
 
Back
Top Bottom