Ukifika kwa mpenzi wako wa kiume, jitahidi kuwa mbunifu,mfano:-
- Kutembea kwa mwendo wa maringo
- Kuzunguka zunguka ndani ya nyumba kwa mwendo wa maringo
- kujifanya umedondosha vitu na kuinama kuviokota
- Kuvaa vazi la kanga na kufanya fanya usafi, kupika, kumtengenezea mpenzi wako juisi n.k
- Kumzuga mpenzi wako kuna sehemu ya mwili panawasha ili akukune
- Kuchezea chezea ndevu za mpenzi wako huku ukiwa umeinama
- Kumgonga kwa makusudi na makalio pale atakapokuwa amekaa au kusimama
- Kutumia lugha laini, kama leo unataka kwenye mechi wewe uwe mshindi n.k
Kufanya hivyo, kunamfanya mwanaume awe zuzu na awe anakuwaza wewe muda wote.