Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Kuwa naye karibu kunapunguza hizo changamotoUnaweza kuyafanya yote na bado akakupiga chini akavuta chombo ngumu habari haina.
Mwanaume akiamua kukuweka kwenye akili yake basi atafanya kila liwezekalo uwe vile anavyotaka(kama haupo vile atakavyo)
Hakuna mbinu ya kumfanya mtu akupende milele.Unaweza kuyafanya yote na bado akakupiga chini akavuta chombo ngumu habari haina.
Mwanaume akiamua kukuweka kwenye akili yake basi atafanya kila liwezekalo uwe vile anavyotaka(kama haupo vile atakavyo)
😂😂😂 ya chumbani mnaweza mkamalizia hata jikoni wakati akifanya hizo mbwembweAkifika aache manjonjo yooote hayo uliyoandika anapitiliza kuoga anakuja rum tunamalizana anaendelea na manjonjo ya usafi na mapishi.
Kama anakuja mara kwa mara afuate ushauri wako, ila kama anakuja mara1 kwa wiki2, apitilize chumbani na aache story nyingi[emoji41][emoji41]
Wasomi ndio wasalitiWamesikia ila
Tunataka katiba mpya
Utatupa mrejeshoDoh!!..sawa
Hizo za jikoni huwa sio za kibabe mnaweza unguza mboga.[emoji23][emoji23][emoji23] ya chumbani mnaweza mkamalizia hata jikoni wakati akifanya hizo mbwembwe