Wadada mnavyowatembelea wapenzi wenu wa kiume, muwe wabunifu

Vijana mnajua kudeka sana.Kwa hiyo siku hizi hakuna tena ile kitu inaitwa "chagulaga" kwenye ngoma ya mbina?Au ile ya "rara nikurenge"?
 
Unaweza kuyafanya yote na bado akakupiga chini akavuta chombo ngumu habari haina.

Mwanaume akiamua kukuweka kwenye akili yake basi atafanya kila liwezekalo uwe vile anavyotaka(kama haupo vile atakavyo)
Jambo la muhimu uelewe mmeo anataka nini au anavutiwa na nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…