Wadada mnavyowatembelea wapenzi wenu wa kiume, muwe wabunifu

Hahaha.
 
Ila mzee baba unapenda mambo mengi sana.
Mimi navutiwa na msichana asiye na mambo mengi bali asiwe mchafu.
Akiwa anapenda viutani basi kwangu amefika na yuko mikono salama sana.
Hizo mbwembwe zaidi wafanye malaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…