Wadada muwe mnaosha bas mawigi yenu yananuka sana jaman

Nipo hahahaha felister yani wewe,kwanza una roho ngumu sana yani hata kunitumia ujumbe kunijulia hali ,nimefurahi kuwaona tena Mungu ni mwema sana
haaa sio hivyo bhana.nakuja soon
 
Kumbe na wewe ulitekwa sasa usinicheke...halafu wewe wing alako ni kama la Inna sio hahaaha au wewe mwendo wa kipara
me team short hair
kichwa kinasupport hair cutting 😀 😀
 
Hivi ile harufu wao wenyewe huwa hawainusi au wanakuwa washaizoea au vipi?

Jana nilikuwa out shopping, nikapishana na wasichana wadogo tu, kama watatu hivi, late teens maybe early twenties, African-Americans, wamevaa hayo mawigi yao, yani kupishana nao tu unasikia harufu mbaya.

Nikawa najiuliza, haya ni mawigi au mafuta wanayopaka au nini? Na wao hawainusi hii harufu au wameshaizoea?

Kuna wengine wanapaka mafuta yanayotokana na placenta kwenye nywele zao ili zikue vizuri. Yani kwa harufu kama ile unaweza kuona labda na huyu naye kapaka mafuta yanayotokana na mfuko wa uzazi (placenta).

 
me team short hair
kichwa kinasupport hair cutting 😀 😀
Kwa hii kodi mpya ya ongezeko la 25% kwenye wigs/ baadhi ya hair products sasa hivi team short hair lazima ipate washabiki na wachezaji wengi sana tu.
 
Kwa hii kodi mpya ya ongezeko la 25% kwenye wigs/ baadhi ya hair products sasa hivi team short hair lazima ipate washabiki na wachezaji wengi sana tu.
na vipara visivyo rasmi 😀 😀
 
Wao ile harufu washaizoea kwahiyo wala hawaisikii maana hata mimi ile jana nilikisha nalo lile wigi lake lakini yeye wala hakusikia kitu
 
Wao ile harufu washaizoea kwahiyo wala hawaisikii maana hata mimi ile jana nilikisha nalo lile wigi lake lakini yeye wala hakusikia kitu
 
Kuna wengine wamejipa ulemavu wa kudumu wa kuota vipara kwa kuvaa hizo kofia muda wote.
 
Yani ile ni sawa na harufu ya Mdomo.
Muhusukia hawezi kusikia kero yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…