Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 24,893
- 47,768
Mimi kweli nilipotea sana, naona kule jukwaa letu pendwa sijatembelea muda nitapita aisehhh nimewamiss sana watu wangu wa nguvuWe na mzee baba wote mmepotea kule jukwaa letu pendwa la manane
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi kweli nilipotea sana, naona kule jukwaa letu pendwa sijatembelea muda nitapita aisehhh nimewamiss sana watu wangu wa nguvuWe na mzee baba wote mmepotea kule jukwaa letu pendwa la manane
haaa sio hivyo bhana.nakuja soonNipo hahahaha felister yani wewe,kwanza una roho ngumu sana yani hata kunitumia ujumbe kunijulia hali ,nimefurahi kuwaona tena Mungu ni mwema sana
Kwa hii kodi mpya ya ongezeko la 25% kwenye wigs/ baadhi ya hair products sasa hivi team short hair lazima ipate washabiki na wachezaji wengi sana tu.me team short hair
kichwa kinasupport hair cutting 😀 😀
na vipara visivyo rasmi 😀 😀Kwa hii kodi mpya ya ongezeko la 25% kwenye wigs/ baadhi ya hair products sasa hivi team short hair lazima ipate washabiki na wachezaji wengi sana tu.
Tutawapenda tu, nywele si kigezo.na vipara visivyo rasmi 😀 😀
Hivi ile harufu wao wenyewe huwa hawainusi au wanakuwa washaizoea au vipi?
Jana nilikuwa out shopping, nikapishana na wasichana wadogo tu, kama watatu hivi, late teens maybe early twenties, African-Americans, wamevaa hayo mawigi yao, yani kupishana nao tu unasikia harufu mbaya.
Nikawa najiuliza, haya ni mawigi au mafuta wanayopaka au nini? Na wao hawainusi hii harufu au wameshaizoea?
Kuna wengine wanapaka mafuta yanayotokana na placenta kwenye nywele zao ili zikue vizuri. Yani kwa harufu kama ile unaweza kuona labda na huyu naye kapaka mafuta yanayotokana na mfuko wa uzazi (placenta).
![]()
Why People Are Putting Placenta On Their Hair
www.huffingtonpost.ca

Yani ile ni sawa na harufu ya Mdomo.Hivi ile harufu wao wenyewe huwa hawainusi au wanakuwa washaizoea au vipi?