Phoenix
JF-Expert Member
- Sep 6, 2012
- 10,585
- 15,468
Flaviana hajawahi kushiriki Miss Tanzania.Tutawapenda tu, nywele si kigezo.
Mbona Kanye alimpenda Amber Rose akiwa na kipara?
Mbona Flaviana Matata kashindana mpaka Miss World na kipara?
Au vipi?
![]()