Wadada muwe mnaosha bas mawigi yenu yananuka sana jaman

Wadada muwe mnaosha bas mawigi yenu yananuka sana jaman

Tutawapenda tu, nywele si kigezo.

Mbona Kanye alimpenda Amber Rose akiwa na kipara?

Mbona Flaviana Matata kashindana mpaka Miss World na kipara?

Au vipi?



d467f631fd628b112953206d3d536691.jpg
Flaviana hajawahi kushiriki Miss Tanzania.
 
Back
Top Bottom