Flaviana hajawahi kushiriki Miss Tanzania.Tutawapenda tu, nywele si kigezo.
Mbona Kanye alimpenda Amber Rose akiwa na kipara?
Mbona Flaviana Matata kashindana mpaka Miss World na kipara?
Au vipi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nasikia mtoto unamfanyia fitina baada ya kukutosa
SawaHiyo mambo huwa inakata stimu sana wakati wa mechi...kweli wajirekebishe wawe wasafi banah
Miss Universe Tanzania 2007Flaviana hajawahi kushiriki Miss Tanzania.
Uache uchafu
Mbona kinyonge au ukija utanyima papuchi baby
Hahahaaaa roho mbaya hiyo jamani sasa mimi rungu langu nitalisuzia wapi baby
Miss universe,
Hapana MkuuNa wewe unavaaga mawigi ya kunuka