Aman itamalaki juu yenu
Nyie ni mama zetu,shangazi zetu wapenzi zetu na dada zetu, lakin mnazingua hiyo miwigi yenu inanuka sana aisee jitaidini kuipiga maji basi
Jana kuna demu kaja masikin wa mungu ana wigi ile kumsogelea hivi aisee wigi linanuka kiroho mbaya yaan kiroho ya korosho, bahati nzuri akalivua nikarishika nikamunusishia puan yeye hata hajari aisee nilisikitika sana
Kilichonivunja mbavu ni baada ya kuvua wigi kumbe ana kipalangoto
Osheni mawigi yenu bana dada zetu yananuka sana
Mayala B