Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,448
Sawa kakanguHongera sana achana na mawigi dada mzuri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa kakanguHongera sana achana na mawigi dada mzuri
Hahahaaa wewe mkorofi sana nitakumbembeleza mpaka ukubali
Nilikosea kuandika Miss World, NI Miss Universe. Big deal.Miss universe,
Wewe pale umesema alishiriki Miss World. Huwezi kupata ticket ya ushiriki usipopitia Miss tz.
Mawigi feki ukiliosha ndio bas tena halivalikiAman itamalaki juu yenu
Nyie ni mama zetu,shangazi zetu wapenzi zetu na dada zetu, lakin mnazingua hiyo miwigi yenu inanuka sana aisee jitaidini kuipiga maji basi
Jana kuna demu kaja masikin wa mungu ana wigi ile kumsogelea hivi aisee wigi linanuka kiroho mbaya yaan kiroho ya korosho, bahati nzuri akalivua nikarishika nikamunusishia puan yeye hata hajari aisee nilisikitika sana
Kilichonivunja mbavu ni baada ya kuvua wigi kumbe ana kipalangoto
Osheni mawigi yenu bana dada zetu yananuka sana
Mayala B